FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Screenshot_20241124-164600_Instagram.jpg

Kuna habari gani...
Vincenzo Jr kila la heri
 
"Tutafungua milango iliyofungwa"

Shensiiiii.

Kauli mbiu tu imekaa kishirikina

Ndio baadaye TFF muanze unafki wenu kushangaa kuona watu wakibebana kupitia dirishani wakati dalili zote zilionekana tangu mapema ila mkaamua kupuuzia.

Maana yake uongozi wa Yanga mpaka sasa una amini Mpumelelo amelogwa.

Kuna uwezekano huyo Mpumelelo leo akaingia na powerbank kwenye pitch.

Kinachokuja kuniacha njia panda ni pale ambapo sehemu kubwa ya maandalizi ya mechi yamefanyika kwa njia za kijadi zaidi.

Lakini inapotokea mechi imeisha wakiwa wamefungwa, unaona lawama zinaenda tena kwa kocha na technical bench lake.

Kwanini lawama isiende kwa Sangoma?
Sangoma huwa hatoroki kweli na pesa ila hawakomi?
 
Back
Top Bottom