Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😄😃Mwenda kafunga
1-6
Dk 94
Hahaha,😀😄😃
hilo goli moja tumelikataa hatulitambui sisi tunatambua 1-5Ibada za kijimwambafu kupitia history yaani yaliyopita ni sumu mbaya mno inayoitafuna utopwinyo muda wote coz hamna jipya zaidi ya kuabudu yaliyopita 😂😂
Mwakakundi mtaacha lini kulamba sumu sumu?
Dube ile hakuwa anataka kutoa assistIla Dube Kuna namna anasaidia timu afu kuna namna anauzi mashabiki
hili goli moja kama yanga hatulitambui linaharibu historia yetu ya 1-5Mwenda kafunga
1-6
Dk 94
Unasemaje mkuu? 6 o'clock in the morning. Where you gonna be?Ilikuwaje mkaondolewa huko juu ilhali nyie ndio mabingwa?
Timu yenu hiyo😃😄KMC thiiimbaaa 1 vs Yanga 5View attachment 3236436
mkuu maombi yako yametimia hapa japo mimi nimeumia hapa nilitaka iishie 5-1Goooooo! 5 sasa inabidi yanga wafunge goli la 6 vinginevyo kina kolo wataumia sana kwa kuwa goli 5 zitawakumbusha kitu