Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

KMC thiiimbaaa 1 vs Yanga 5
GjFPPmnW4AAbvIu.jpg
 
Ila Dube Kuna namna anasaidia timu afu kuna namna anauzi mashabiki
 
Ibada za kijimwambafu kupitia history yaani yaliyopita ni sumu mbaya mno inayoitafuna utopwinyo muda wote coz hamna jipya zaidi ya kuabudu yaliyopita 😂😂

Mwakakundi mtaacha lini kulamba sumu sumu?
hilo goli moja tumelikataa hatulitambui sisi tunatambua 1-5
 
Haya haya waletwe thimba tusisubirie machi 😂😂🤣🤣🤣
 
Goooooo! 5 sasa inabidi yanga wafunge goli la 6 vinginevyo kina kolo wataumia sana kwa kuwa goli 5 zitawakumbusha kitu
mkuu maombi yako yametimia hapa japo mimi nimeumia hapa nilitaka iishie 5-1
 
Back
Top Bottom