Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

Zile pesa zinazotia hamasa kwa kila goal hazikuwepo leo?
Imekaaje hii!
 
Tatizo ni zile rangi za migomba ya ndizo.... Zingeanza kelele za kumtukuza mtu.
 
Tuwe wakweli uwezo wetu wa wachezaji🇹🇿nimdogo sana ukilinganisha na Hawa wakongo.Wao utulivu nimkubwa Sanaa,hivyo Nawapongeza Taifa stars wamejitumaa sanaaa Jasho limewatoka sana lkn ndio soka katili.
 
Wenzetu wana kocha mzungu licha ya kuwa na makocha wengi wazawa sisi eti timu anapewa Mzanzibari, hajawahi kufanikiwa popote, ili kufurahisha samia
Hemed Morroco amewekwa hapo baada ya zile kero 23 za muungano kutatuliwa na Samia sio kwambao Yuko Taifa stars kwasababu ya uwezo hapana Bali Yuko pale kukamiliaha sheria na taratibu za muungano.
 
Safi sanaaaaa!!!!
Unamuita samata timu ya taifa utegemee Matokeo mazuri?

Acha tupigwe! Tu!
Unampanga mzize na mamnyeto halafu utegemee matokeo mazuri? Unajaza utopolo uwanjani halafu utegemee matokeo mazuri? Unamweka kipa ambaye hana namba kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake halafu utegemee matokeo mazuri? unamweka kocha ambaye hana rekodi ya sasa ya mafanikio kimataifa halafu utegemee matokeo mazuri? Unaweka wachezaji wengi ambao mawazo yao kwa sasa si mechi ya Taifa stars bali ni ile ya terehe 19 halafu utegemee matokeo mazuri?
 
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Taifa stars
Wamalize mchezo salama kwa ushindi bila majeraha.
taifa stars haiwezi kushinda kwa huyu kocha tuliyenae na hilo benchi zima,hawa makocha wa kugawana mishahara na viongozinwa tff hawatufikishi popote
 
Wote tunalalamika ila wewe huna hoja kabisa, nisamehe kukuita mbumbumbu wa football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…