Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samata Hana msaadaLeo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni
Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.
Dakika, 2 Stars wanapata kona.
Dakika, 4 Stars wanafanya shambulizi zuri sana na kupata kona.
Dakika 6 Taifa Stars wamefanya shambulizi zuri kutoka kwa Mzize.
Dakika,12 Sammata anakosa goli hapa.
Dakika, 18 DRC wamefanya shambulizi zuri.
Dakika, 38 Mpira umekuwa kasi sana
Dakika, 39 Kibu anakosa nafasi ya wazi
Dakika, 42 Ali Salmu anafanya save nzuri na kuwaweka salama Taifa Stars.
Zimeongezwa Dakika 3 kukamilisha dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika Tanzania 0 - 0 DR Congo.
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika,52 Taifa Stars wamefanya majaribo mawili lakini wameshindwa kutumia nafasi vyema.
Dakika, 73 DR Congo na Taifa Stars wamefanya Mabadiliko ya wachezaji
Ametoka Mudathri anaingia Mao. Kwa upande wa DRC anaingia Mayele.
Dakika 84 Mzize anatoka nafasi yake inachukuliwa na Mwalimu Hassan.
Dakika, 86 DRC wanapata goli
Dakika,93 DRC Meshakc Anawapatia goli la pili
Akili zao zinawatuma kuwa zomes Yao ndiyo CCM inakomolewa,ni ujinga mtupu walionao CCM haitishiki,hai abaiki na itaendelea kutawaPumbavu michadema ni hovyo sana ndio maana mnatekwa
Utopolo utamjua tu!! Huwezi kufanikiwa kuondoa mawazo ya wachezaji wa hizo timu mbili kwenye mchuano kati yao zikiwa zimebaki siku chache hivyo! Hawawezi ku-concetrate kumsikiliza kocha hata kidogo! Walitakiwa kuusogeza mbele kidogo mchezo huo!!Wote tunalalamika ila wewe huna hoja kabisa, nisamehe kukuita mbumbumbu wa football
Hata wachezaji wamejichokea utadhani wanachezea timu isiyowahusu, ukiwaangali utaona hawana mori...kama vile wako kukamilisha dakika 90 waondoke uwanjani.Ccm imefungwa 😂😂😂😂
Anacheza Young Boys tutaweza kumtoa ulaya??Nasikitika tumefungwa japo magoli waliyotufunga ni mazuri sana!! Yule mfungaji wao wa magoli yote itabidi Yanga au Simba wamsajili!!
Ujinga mtupuHemed Morroco amewekwa hapo baada ya zile kero 23 za muungano kutatuliwa na Samia sio kwambao Yuko Taifa stars kwasababu ya uwezo hapana Bali Yuko pale kukamiliaha sheria na taratibu za muungano.
Nyanya mbovu huyo hauziki ....laana ya taifaSijatazama mechi ila kila kona mama hivi mama vile.
Hivi huyo mama anacheza nafasi gani kwenye hii timu?
Au ndio 4R tunazoambiwa?
View attachment 3125906h
Kacheze wewe na familia yakoSamatta na Kibu ni mizigo kwa timu ya Taifa