FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Madrid wenzako waliziba hadi uwanja juu na bado wakachenyetwa kwao.
 
Wamekutana wote level moja. Hongera kwao ila kiukweli Simba wajiangalie sana hii timu (Stellen) ingekua makini au kongwe ingekutumia makosa ya Simba kunufaika. Simba kuna muda wanafunguliwa upepo na wanabaki wazi.
 
Ungeugulia maumivu kimya kimya tu mkuu hukuwa na haja ya kuanzisha uzi
 
Mbumbumbu wanasherehekea UMISETA
5imba kushiriki mashindano ya akina mama ni aibu Kwa taifa
We jamaa sijui una roho pea mbili?

Maana Gongowazi wenzako wote wamechutama umebaki wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…