[emoji3] aise tajiri Mohamed tunamtegemeaMtaweza kutoa milioni 600 [emoji3][emoji3]
Inshallah ikawe kheri[emoji3] aise tajiri Mohamed tunamtegemea
Wana Fainali Jana usingizi uligomaππGooooooooood afternoon wana fainali.....
Sisi waleeeeee
Huwezi upata aisee hahahaaWana Fainali Jana usingizi uligomaππ
Dah! Mie sijambo sana tu Mtani.Bantu Lady , Shadeeya Hamjambo wataniππ
Kabisa yaani kwa sasa walau watafanana na sisi kidoogo.Hatimae na nyie mmevaa medali..maana mlikuwa mnatuletea picha za mabati zisizoeleweka hongereni Cc Bantu Lady Shadeeya
Hahahaa. Ama kweli kipato huleta majivuno Mtani.Hamjambo watani zangu Bantu Lady Shadeeya ngara23 na wengine.
Nilikuwa bize kidogo nafyeka vichaka vya kutafuta kikombe cha akina mama bahati nzuri nimekuta na CHURA akiwa Gongowazi hana pa kujifichaππ
Nina zawadi zenu hapa
π π π π π π π π
πΈπΈπΈπΈπΈπΈπΈπΈ
Pole mtaniπ€£Japo kiufupi mmejua kutuweza bana. Lol
Hahahaa. Nshapoa Mtani.Pole mtaniπ€£
πππMmeamkaje wanafainalist wa mashindano ya Africa
View attachment 3320304
Na wanafainali wa mashindano ya visiwani
View attachment 3320305
Tuko vizuri,tunasubiri Yanga watuletee Supu.Mmeamkaje wanafainalist wa mashindano ya Africa
View attachment 3320304
Na wanafainali wa mashindano ya visiwani
View attachment 3320305
Tena nawaombea mchukue ubingwa ili sie vijana wa hovyo tupate siku kuu yetuHuyo mzabzab hawezi kukosa kwenda kubambia makalio ya wadada..
π π πTena nawaombea mchukue ubingwa ili sie vijana wa hovyo tupate siku kuu yetu