Full Time: UEFA Champions League Final: PSG 5-0 Inter Milan | Mei 31, 2025 - Allianz Arena Stadium

Di Marco anawarahisishia kazi PSG.

Magoli yote yake.. la kwanza kashindwa kuua offside na la pili reflection
 
Dakika 25
Psg 2-0 inter
Hakimi
Doue
 
Hapa tunajifunza faida ya kuinvest KWA vijana na kocha wa maana. Simba ijifunze.
 
Alianz hua inatoa bingwa mpya😎arsenal yangu dah!!🤔😎
 
Inonyesha kocha wa inter hakujiandaa kucheza final.
 
Hawa PSG hata ingepita Barca wangefungwa tu. Wako makini sana na kazi
 
Isije ikajirudia fainali ya liverpool na ac milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…