Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Kuna namba naona kabisa ni vita mfano apa kwa Mwenda namba 2 sijui itakuwaje pare kibwana,Yao,Nkane wakiwa full yaani sijui kwakweli maana uyu mwenda huyu balaaTuwe wakweli!
Yanga ina kikosi imara sana msimu huu, kiasi cha kumuonea huruma kocha wakati wa upangaji wa first eleven yake.
Fikiria tu kwenye hiki kikosi kilichoanza kuna akina Dickson Job, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka, Zimbwe Jr, Mzize, Pacome, Boyell, na mastaa wengineo wengi! Eti wako nje!! Hatari sana hii.
Nikimtoa Diarra naona kabisa kwa namba zilizobaki kwa wachezaji wa nje wanatoa timu nyingine hatariTuwe wakweli!
Yanga ina kikosi imara sana msimu huu, kiasi cha kumuonea huruma kocha wakati wa upangaji wa first eleven yake.
Fikiria tu kwenye hiki kikosi kilichoanza kuna akina Dickson Job, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka, Zimbwe Jr, Mzize, Pacome, Boyell, na mastaa wengineo wengi! Eti wako nje!! Hatari sana hii.
Sio kuitikia, ni kushangilia na kuzomea wale waliokataa salamu za mama.
Kwani alipiga? ππ
SijaangaliaKwani alipiga? ππ
Bahati mbaya nilitoka kidogo. Niliporudi nilikuta mpira ndiyo unaanza. Ila watakuwa walimshangilia tu kwa sababu ya kuongezwa kwa eneo la Kaunda Jangwani la kujenga huo uwanja tunao danganywa nao kila siku.
Sijacheki pia, ngoja tumsubirie Tate Mkuu make alisema kamuona Gerry kaingia uwanjani πSijaangalia
Nyinyi mizimu leoMAKOLO jana waliingiza MISUKULE, Sijui walifikiria nini?π€£π€£π€£π€£π€£
Ni hatari sana. Nje kuna kikosi kamili kingine chenye wachezaji 11 na sub juu!Mpaka sasa nikiwa Kocha Sijui First team ni ipi, maana wote ni Fire π₯π₯π₯ Yao/Zimbwe/Mwenda bado haujaja kwa Ecua/Pacome bado Dube/Mzize/Boyeli nk. Nk. Yaani sielewi
Unafanya nini nyuma yake?
Walimpigia π eti akasema yuko tangu saa 10 kwenye Tv. Wana michezo ..Kwani alipiga? ππ