Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

I agree. Jesus is not God. He is the son of God. Jesus never claimed to be God. He said always that he is the son that was sent by the Father. The council of nicea lied to christians.
 
Haya ni mambo ya kiroho na sio ya kimwili.
Unaweza ukaelewa rocket science , ila MUNGU asitake umjue

Luka 10 : 21 " Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya umewaficha wenye hekima na akili; umewafunulia watoto wachanga; Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza. "

Yohana 1 : 1-14 " Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu .....
 
Achana na haya mambo utashikwa na njaa.
 
Hakuna aibu wewe ni mgumu kuelewa Kiranga halafu unashangaza sana kwanini unashikila hoja ya kukosa kwako akili ndio iwe dalili ya kutokuwepo Mungu Mwenye enzi isiwe ndio dalili ya KUWEPO MUNGU MWENYE ENZI NA UPENDO?
Wewe huna uwezo wa kuelewa a simple logical argument kwa hivyo sioni faida kujadiliana nawe.

Unapenda kujadiliana lakini huwezi.

Nakuelezea a simple flow of logical propositions na conclusion lakini huelewi.

1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hana uchoyo, anagawa mazuri na hagawi mabaya.

2. Mtu kukosa akili ni kitu kibaya.

3. Mungu huyo hataumba ulimwengu unaoruhusu mtu kukosa akili.

4. Hivyo, tukiona mtu amekosa akili, hilo linamaanisha Mungu huyo hayupo.

5. Tunaona watu wamekisa akili.

6. Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Sasa hapo kipi kigumu kuelewa?
 
Kwa hiyo mungu kachagua nani amuelewe na nani asimuelewe!?..huo msitari wa neno na mungu,kwenye mungu weka neno uone unapata nini!!
 
Kwa hiyo si kosa' kwa wasiomuelewa,wakafanya maovu,huyo mungu wako Hana tatizo na Hilo!?
Ni kwa sababu ya ugumu ulio jiwekea moyoni wa kutotaka kumtafuta ,
MUNGU hakufanyi ufanye dhambi ili uwende motoni , ila anakuruhusu utende dhambi , ili upate matakeo yako
 
Ni kwa sababu ya ugumu ulio jiwekea moyoni wa kutotaka kumtafuta ,
MUNGU hakufanyi ufanye dhambi ili uwende motoni , ila anakuruhusu utende dhambi , ili upate matakeo yako
Umesema mungu kachagua nani amuelewe nani asimuelewe,Sasa sisi ambao kaamua tusimuelewe hatujui dhambi ni ipi na ipi siyo,kwa hiyo hatuna lawama kwa mungu,Wacha kuzunguka
 
Umesema mungu kachagua nani amuelewe nani asimuelewe,Sasa sisi ambao kaamua tusimuelewe hatujui dhambi ni ipi na ipi siyo,kwa hiyo hatuna lawama kwa mungu,Wacha kuzunguka
Fanya unacho jisikia.
Kwa sababu utahukumiwa kwa wazo lako.
 
Hayo mafundisho yalianza kufundishwa miaka 50 baada ya Yesu kupaa mbinguni

Wakati hayo mafundisho yanaanza marafiki zake Yesu wa utotoni ambao walicheza nae kombolela mitaa ya Galilaya walikuwa Bado wapo wakawa wanawashangaa wakristo jinsi walivyoingizwa Chaka

Na ndio maana waisrael hiyo dini ya ukristo hawataki hata kuisikia maana wanajua kuwa ni uongo mtupu

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths such as
 
Waamini utatu wote mnashida ya akili kichwani nijibuni hapa
1.kati ya Mungu baba na Yesu nani ni mkuu
2.Ikiwa Yesu na Mungu wapo sawa iweje asijue habari za siku za mwisho ila baba tu
3.Ikiwa wapo sawa iweje mwingine amtume mwingine na awe answerable kwake?
 
Na ndio maana waisrael hiyo dini ya ukristo hawataki hata kuisikia maana wanajua kuwa ni uongo mtupu
Wana wa Israel, sorry Israel ni nani? Yakobo?

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019 was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze
Chanzo Yesu kuitwa Mungu,

Waisrael hawajakisahau kilichowapa kule jangwani walipitishi nyoka wenye sumu kali na Mungu alitaka awafyeke wote wasiomuamini, kwa hio Mungu ni Yesu? Yule aliewashughulikia waisreal jangwani miaka 40 ni Yesu? Ndio maana wakagoma wakaona wabaki na Torah yao tu, wasijisumbua na wakina Paulo
 
Uumbaji umetokana na nini?
 
Mathayo 3:16, 17 inakuumbua, inawezekana vip mungu huyo ajisemee mwenyewe huyu ni mwanangu mpendwa kwanini asengesema Mimi mungu wenu mpendwa nipokeeni.....?!!
 
Jina la Yesu sasa limegeuzwa kua ni biashara kubwa sana inayowalipa watu na kuwatajirisha kupitia wajinga wengi wasioujua ukweli kua Mungu ni nani na Yesu ni nani? Kuna tofauti gani iliyopo kati ya Yesu na Mungu? Kwanini wanadamu wamechagua kumuona Yesu ndie Mungu wao na kumuacha Mungu Mkuu? Kwanin wanadamu wamechagua kumtumia Yesu km njia ya kumfikia Mungu?

Alisema "Mimi ndimi njia ya uzima, hakuna anaekuja kwa Baba isipokua kupitia mimi"

Na wajanja wanautumia vizuri huo msitari utawasiki "Kwa Jina la Yesu Pepo toka kwa Jina la Yesu Fire Fire Abrafabadala Abdaharafabadabala Fabadabarabashaba....."

Sasa huyu Baba ni nani km Yesu ni Mungu?
 
T

Tofautisha vyeo na majina
JEHOVAH (MUNGU Baba) - hukaa katika kiti cha enzi , - yeye ndiye natoa order kwa Yesu
Yesu(MUNGU Mwana) - yeye hukaa katika kiti kilicho upande wa kulia wa kiti cha enzi, hupokea order kutoka kwa MUNGU Baba na kumpa Roho Mtakatifu . Yesu ndiye atahukumu dunia siku ya mwisho atakaporudi duniani na kufua wafu(Messiah)
Roho Mtakatifu - Yeye aliletwa duniani baada ya Yesu , kuaondoka duniani. Anapokea order kutoka kwa Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…