pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Watajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa bula uwongo mambo hayaendiDuuh kukosa ubunge kunauma sana.
Ile misukule kuifufua ilikuwa ni kufanya nini?!!Acha uongo kanisani kwa Gwajima hakuna kitu kinaitwa kutoa ushuhuda uwe unafanya uchunguzi kabla ya kuja kuongopa hapa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyu Dogo anatoa chumvi. Haiwezekani info nyeti kama hizo zitolewe mbele yake. Unless ni ndogo ndogo alizozipata kupitia familia. Sidhani kuwa kwa kazi yake alikuwa anaishi Magogoni pia... Something is not right.....!!Hv kupe ni wakina nani? Maana kawasema sana kuwa walikuwa wanamuingiza kingi mjomba wake kwa taarifa za uongo na mjomba wake akawa anawaumiza watu bila hatiya yoyote!
Hii nchi ngumu.gwajima ni TISS .niliambiwaga pale kijiweni
Dogo inaonekana anahasira sana na hao kupe! Je hao kupe ni wakinanani? Waliokuwa wanamlisha matongo pori jiwe na jiwe kuumiza watu kama yeye alivyo kuwa anasema.Huyu Dogo anatoa chumvi. Haiwezekani info nyeti kama hizo zitolewe mbele yake. Unless ni ndogo ndogo alizozipata kupitia familia. Sidhani kuwa kwa kazi yake alikuwa anaishi Magogoni pia... Something is not right.....!!
Dini ipi ni ya kweli mzee?Ukweli utadhihirika tuu na ushaanza kudhihirika kua ipi ni dini ya kweli
Endeleeni kuwatajirisha hao manabii feki huku nyie mkifa njaa
Umewekewa hadi clip unakuja hapa kudenyuka kuwa ni fake news? Are you serious?fake news
Mtoto wa dada naye ni mtoto wako mkuu, hakuna tatizoHuyo ni mtoto wa dada wa Magufuli, sio mtoto wa Magufuli, naona story zake zimekuwa nyingi sana sijui anatumiwa au anajitumia ili akumbukwe kwenye ulaji wa awamu ya sita.