Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Victoire

FURAHA DOMINIC JACOB aliyeongoza KURA za UBUNGE Kawe wengi mkawa mnajiuliza ni nani; huyu ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli.
Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
 

Ni Bagamoyo tu. Babu kavuna!
 
Kwanini mwenyekiti kaongea sana sana baada!!! Angempa hongera mshindi na kupunguza maneno mengiiiii, ambayo yameonyesha aliyemtaka hakupata kura alizotegemea.
 
Watu tumebaki midomo wazi nani huyu dogo aangushe vigogo vilivyokuwa vinapewa nafasi kubwa ya kushinda. Sasa siri yote nje kumbe ni mzito fulani hivi kupitia bega la mjomba 😜😜

Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
 
Mwenyekiti anasifia CV na kazi zijazo, hata uchaguzi bado. Imeonyesha sababu ya jimbo hilo kupata watia nia wengi ni kupeleka CV tu na kusubiri. Mwaka 2025 watapata 500 kuwakilisha CV na kusubiri uteuzi, shame kwa aliyoyaongea hata kama yanajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…