Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

H
Comment bora kabisa hii..

Huyu analeta story zake za kishamba. Fundi simu per day laki mbili how serious
Hapo nini cha ajabu? Umeambiwa huyo fundi anauza na vioo vya simu,mfano mtu ana infinix hot8 bei ambayo fundi kajumua kioo ni 14000 mteja analipa elfu50 au 40 hapo anapata yake 35 au 25,anaweza weka vioo simu ngapi Kwa siku kama yupo location nzuri? Bado kuweka system charge utaambiwa elfu5 yeye kale kacharge port kajumua 200 ndio mia mbili,Kwa mafundi simu hiyo hela kama yupo location nzuri ni ya kawaida
 
Aulizie kioo cha Samsung bei gani
Alipata simu 4 tu Kwa siku
Hapo Bado wateja wa betri
Protector, system charge, cover n.k
Hawa Watanganyika hawajui pesa zinapatikanaje
Wakiona watu wanajenga, bar zinajaza, safari, watu wanaishi good life wanadhani wote ni mawaziri
Hawajui watu wanapika harakati za kawaida na wana make mkwanja
 
Wewe kwa haya maneno yako ni tapeli.

Tafuta kazi halali fanya..
Tafuta kazi fanya acha story za vijiweni
😀😃😅We jamaa nimekudharau aisee
Yaani huamini kwamba Kuna watu wanapiga pesa Kwa hizi fursa na hizi ni baadhi tu
Ukiona watu wanashusha majengo, magari, bar zimejaa, watu wanaokula bata we unadhani wanafanya kazi gani?
 
Ulizia vizuri
Inatokana ulikuwa unafanya hotel Gani
Five star hotel hawawezi kumlipa chef laki 4
Wewe unabisha, mm nimepiga hoteli nyota nne. Na hizo nyota tano kwa unguja ndo nyingi na nne. Kuna melia kuna verde hakuna mishahara ya milioni mkuu. Mana kwa kawaida hotelin wafanyakazi wanaingia shift 3 yani masaa ya kazi ni masaa nane. Kulipwa milion tu kwa industry hii tena nchi kavu sio poa.

Chef wanalipwa vizur kwenye watch na meli za kimataifa huko.
 
Mc ni kweli inalipa, kuna jamaa yangu amepiga IT Saiz ni Mc mzuri kikubwa uwe na mwaminifu tu kwa mwezi unaweza kunja hela nzuri.

Kuna hii nyingine

Day care &Nursery
kutokana na changamoto ya wasichana wa kazi hii sector inakuwa kwa kasi, ni kuweka mazingira mazuri tu, na usalama kwa watoto
 
Back
Top Bottom