zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mbowe anataka kuharibu legacy yake mwenyewe, tulimsifia sana humu kama baba wa demokrasia leo anaona chama kinataka kuvurugwa na wahuni wachache alafu anakaa kimya tu!!View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Hawana numbers za kupasua chama, ukienda kwa mwanachama mmoja mmoja hawezi kumsikiliza Mrema alafu akampuuza Lissu!! Tuweni serious wakati mwingine. Hawa wait waitwe wasikilizwe ila kama ni wakaidi waondolewe tu tuone wakigombea huko NCCR kama watapata hata kura 100Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Hapo ndio watauona udhaifu wao vizuriView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Huwezi kutafuta suluhu na mtu anaye tengeneza mgogoro kwa makusudi ili atimize malengo ya anaye muagiza na kumtuma, usitarajie suluhu hapo kwa watu wa aina hiyo , maana huyo atakuwa anazalisha jambo kila siku. Ndio maana CCM huwa wakiona mtu wa hivyo huwa wana mmembe.Mimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!
Mliokuwa mnamsifia na ninyi mna shida ya kuwa wepesi wa kutapelika. Red flags zilikuwa nyingi tu.Mbowe anataka kuharibu legacy yake mwenyewe, tulimsifia sana humu kama baba wa demokrasia leo anaona chama kinataka kuvurugwa na wahuni wachache alafu anakaa kimya tu!!
Nadhani hawa ni kusubiri baraza kuu ndio likaamue hatma yao, kama wana numbers wapindue maazimio ila kama hawana waondolewe otherwise enough is enough. Tukiwachekea hawa, usishangae hiyo oktoba mambo ya Covid 19 yakajirudia
Kwamba maamuzi ya Chadema yabadilishwe ili chama kiwe kina shiriki uchaguzi kwa hali hii hii ya kutohèshimiwa kura?Narudia tena wakae wayamalize kwa amani. Maamuzi ya Chama sio msahafu Kama ambavyo katiba siyo msahafu inaweza badilishwa!!
Wamesha feli kabla ya kazi maana hakuna mtanzania asiye mjua samia yupo ikulu kufanya nini na kwa maslai ya nani...hao G 55 wanacho kifanya ni kutafuta fursa ya kushibishwa fedha za ccm na za serikali yake ...maana nyuma yao watakuwa wanatumiwa na ccm kufanya hayo ....hivyo ni lazima walipwe pesa ....ukweli nilio waambia chadema kuwa bora JPM mara million moja kuliko samia umewakuta chadema walio nikebei ...niliwaambia chadema kuwa ilikuwa rahisi hata kupata katiba mpya na njema chini ya JPM kuliko samia wakina MBOWE NA LISSU WAKANIKEBEI SANA HAPA JF ....HIVYO HAKUNA UCHAGUZI WOWOTE 2025 ANACHO KWENDA KUKIFANYA SAMIA NI KUJITANANGAZA MSHINDI DHIDI YA WANANCHI....SAMIA YUPO KWENYE KUNDI LA STATE CAPTURE LINALO MILIKIWA NA RAIA FEKI KAZI YAO NI KUFISIDI TAIFA NA KUKWAPUA MALI NA KUZIAMISHIA KWENYE NCHI ZAO WANAZO ZIKUBALI HILI KUNDI LINAWATUMIA UISLAMU NA WAISLAMU WASIO NA AKILI YA KUJITAMBUA KIZALENDO KAMA MZEE KIKWETE NA MASHEKH ...NKView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Jee hakuwa anafanya vizuri kusifiwa? Binadamu atasifiwa afanyapo mazuri na akibadilika atashughulikiwa tuu. Hilo suala la kubadilika sio ajabu kwa mwanadamu kwani hata shetani tunaambiwa alikuwa Malaika wa Mungu lakini akaasi.Mliokuwa mnamsifia na ninyi mna shida ya kuwa wepesi wa kutapelika. Red flags zilikuwa nyingi tu.
si rahisi.... hawaweziView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Uko sahihi sana tatizo ninaloliona ni uongozi mpya hautaki ushauri, wana kibur, dharau kupitia kwa wapuuzi wachache
You are too child for this!!
Chadema itafia mikononi mwa TAL!
G55 Waitwe wasikilizwe hoja zao na kisha mkutano mkuu uitishwe kuipitia tena upya uamuzi kama ni lazima. Busara na hekima itumike. muhimu Mbowe yuko upande gani? au alikabidhi chama kinyonge si alisema demokrasia ya uchaguzi imelindwa na chadema na dunia iliona
TAL hanaga busara! Na Chama chochote cha siasa ni sawa na dini!
Huwezi kulazimisha watu kukubali!
Chadema halisi hawana matatizo, mapandikizi ya CCM ndani ya chadema lazima yaondoke Ili CDM waendelee salama na harakati zaoMimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!