Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Lakini ametoka kwa fedheha whatsoever. Kama ni mchezo wa kifamilia, kwanini asinge stepdown kisha huyo mtoto wake akaandaliwa kuja kuwa rais kwa njia ya ballot box?
 
Nit
Nitawalaumu ikiwa wataishia kumsweka ndani Rais mteule na kuacha kufukunyua tume nzima ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi.

Hizi zinazoitwa "tume za uchaguzi" ndiyo chanzo kikuu cha migogoro yote hiyo.
Wanapindisha matokeo kwa karatasi ghushi ama kwa rushwa.

Wanalo turufu sasa la kuweza kuupata ukweli wa figisu zinazofanywa na tume hizo za uchaguzi.

Pia wasikubali kubakia madarakani kwa kipindi kirefu kama walivyofanya Sudani mpaka kupelekea machafuko, watawale kwa mpito huku wakiandaa uchaguzi wa kidemokrasia ulio huru na wa haki.

Kama Jeshi la Taifa, wametimiza wajibu wao wa kulinda Katiba mahala ambapo watawala huisigina na kuikojolea kwa mrengo wa kidemokrasia ya bandia iliyojaa figisu na kutumia katiba zenye matundu kuendelea kutawala na kupora demokrasia pamoja na railimali za Taifa.
 
Hata Tanzania ni nchi yenye demokrasia inayohitaji mapinduzi ya kijeshi.
 
All state institutions have been dissolved.
 
Sasa huyo aliyepewa kuandaa ,ndo kaamua kumgeuka binamu yake na kuamua kusimama mwenyewe.
Hizo ni hisia tu. The dynasty is gone for good. Mbona baba yake hakupinduliwa? Kwanini haujui hata ndugu huweza kugombana, tena cousins? All in all, watu wanataka changes. People are fed up with the old and corrupt regimes.
 
Hizo ni hisia tu. The dynasty is gone for good. Mbona baba yake hakupinduliwa? Kwanini haujui hata ndugu huweza kugombana, tena cousins? All in all, watu wanataka changes. People are fed up with the old and corrupt regimes.
Yap,hawamtaki tena Ali Bongo,na walikuwa wanaimba Oligui président. Ila Oligui mwenyewe ni wa familia ile ile. Ali Bongo alizidi kwa kweli ufisadi akimtumia mke wake na mwanae wa kwanza wa kiume huyo Valentin.
 
Point tupu
 
Kwa hiyo unataka na wakwetu wafanye Mapinduzi.

Wewe ni ndezi na Mjinga sana
Tena ni kama wanajeshi wetu hawajitambui. Hizi chaguzi za kihayawani zinazoendelea kuwafanya CCM wakae madarakani kwa shuruti ilitakiwa ifikie mwisho.
 
Bora waneemeke kuliko Vita,hakuna Mtanzania anapenda huo ujinga kama wewe unapenda kufa mapema kabla ya kutuletea shida sie wengine na Watoto Wetu.
Yaani kila siku nasema huku, yanatakiwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ili kutoa hiki chama cha majizi kilichoko madarakani kwa shuruti. Ww kwasababu unafaidika na hiki chama cha majizi lazima uogope mapinduzi, lakini hayo yatatokea tu. Kuliko kuendelea kushiriki chaguzi za kihayawani, ni bora kuwaunga mkono wanajeshi wapindue nchi.
 
Kwani machadomo ndio Yana jipya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…