Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
Mwaka 2019jamaa yangu ambae tulikuwa ofisi Moja alikuwa na chuma kama yako (Brevis)alikuwa akiisifia kama unavyofanya hapa..na kweli chuma ilikuwa inatoka na comfortability kama yote...ila sikuacha Kumwambia kuhusu mwendo Kasi wake...
Tarehe 21 /4/2019 tukiwa wote tunatoka Iringa(kazini) yeye akienda Dsm kusalimia familia na Mimi nikienda Arusha kumsalimia familia...kabla ya safar nilimwambia asiendeshe spid kwani tunaenda nyumban Tena kusalimia familia zetu...akanitangulia..Mimi nikiwa na gari yenye speed kubwa kuliko yake (VW golf)lakini sikuzid speed 100.
Tulianza safar jion baada ya kazi...Ile imefika saa mbili usiku..nikasema nimpigie nijui amefika wapi maana alitangulia...sim ikawa inaita tu...Ile nimefika mikumi Nikakutana na ajali..Kwa vile ilikuwa usiku nikasikamama Kwa mbele...halafu sijui nilipitiwa na nini...mda ule nikawa sikumfikiria jamaa(peter)..Ile nimeshuka nakuta mwili umefunikwa majani...nikawauliza jamaa walikuwa eneo la tukio wakaniambia huyu jamaa ameingia nyuma ya Lori...nikiwa pale Nikaona plate number ya gari ikiwa chini..nikaichukua nikaitambua..pale pale akili ikafunguka na kusema ni peter....nikarud kufunia majani yaliyofunika mwili..kweli alikuwa peter..wale jamaa waliponiona nalia ndo wakaniuliza unamfaham!!?..ndo nikasema ni mtumishi mwenzangu Tena ofisi Moja ....the rest was history ..
Kwenye haya magari nimejifunza yafuatayo:
1.gari haikujui kama wewe ndio mmiliki wake....kwamba ipo siku itakuokoa
2.kuendesha speed kubwa Haina maana sana
3. Ndio ...ajali ni ajali lakini tafiki zinaonyesha ajali nyingi ni uzembe WA dereva na pili ubovu wa chombo chenyewe
4.ukishajua thamani yako, na ya wale walio chini yako(familia) ..hauna sababu ya kujisifu Kwa kuendesha gar speed..
5.endesha gari Kwa speed kias kulingana na sheria huku ukichukua tahadhari maana kumbuka si tu kwamba utakuwa ukiendesha gari lako Bali magari matatu(lako,la mbele na la nyuma)
Otherwise brevis ni gari nzuri ..hongera sana Boss.