Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ikipata shida ndg tu hata ya betri inalala ndani nusu mwaka 😅
 
Nyumba anayokaa hatari sana, ilijengwa na kampuni kutoka Italy! Hapa ndiyo nilijua ule msemo huu

"Usiseme tuna shida, sema nina shida"
Watu wanahela jamani.. 🙌 mie mkandarasi wa Buza tu kumpa tender najifkiria..
 
wale jamaa wa upinzani.wanasema kamilikishwa bandari Ya Zanzibar
Jamaa wana hela , nawafahamu vizuri sana hawa ndiyo wapinzani halisi wa Azam group of companies, kama baba yao angeendelea kuwepo naamini.
pangekuwa hapatoshi!

Huyu ni baba (Marehemu)

Salim Hassan Abdullah (Mr White)

He was a co-founder and chairman of Turkys Group of Companies, a group which comprises over 14 companies from health, tourism, transportation, food and water, building materials, oil and gas, communication, engineering, cements making, real estates and other businesses.

The companies located in Tanzania Mainland, Zanzibar and Comoros Islands, are operated and administered by his two sons Toufiq Salim Turky as Chief Executive Officer and Abdalla as Executive Director while his only daughter Khaitham concentrates in her own fashion and beauty business

Watoto (wa kiume) wana ushamba, ulimbukeni, dharau, kiburi, majivuno, dharau n.k!
 
We Bi Ajuza kikongwe nilikua nakuheshimu lakini kumbe ni mpumbavu tu, unawashwa huna mtu wa kukukuna , you witless worm, clumsy old fool, hopeless deluded idiot
Mkuu, mbona kaandika maoni yake ambayo wala hayana ukakasi wowote. Hakusitahili matusi kama hayo. Unless wewe ni Turkey mwenyewe.
 
Hizo gari sio kwamba watu hawaleti wanazileta sana hapo mwezi uliopita pana mtu alileta hizo tatu na aina zingine kadhaa alipakia kwenye Truck zilikuwepo hapo Tunduma siku kadhaa sijui kama zishatoka..
Zipo ndio ninachosema kama mtu kanunua mpya G63 pamoja na ushuru inafika 900m. Kama used na spec za kawaida itakuwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…