Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

Haki gani ilitendeka? Kimara Kwa sababu wamejaa wachaga na Chadema iliamriwa wabomolewe nyumba zao, mwanza Kwa wasukuma akasema wasibomoe Kwa sababu wamempa kura.

Alijenga kiwanja kijijini kwao kwa kampuni yake mayanza

Kina Ben Saanane, Rwabaje waliuawa kwa kunkosoa tu. Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwa kumkosoa

Kuna kipindi migogoro ya ardhi imeisha Tanzania? Au unasema kwa sababu aliruhusu wasukuma muendelee kuharibu mapori na misitu huko Katavi kumbe mnaharibu mazingira na kusababisha nchi kuwa kame?
 
Yaani kingekuwa ni chakula labda tungesema JPM aliacha ameua hamu ya kula hata ukiaminisha watu kuwa hiki chakula ni kitamu kuliko cha jpm hakuna raia mwenye hamu nacho.
 
Sema tungekuwa na wananchi imara !!!
 
Mimi niko na Samia Suluhu Hassan lakini afagilie mbali hawa Mataga.

Sisi kama Wapinzani tunataka CCM asilia tunayoijua ile ya akina Kinana na Nape.

Na sio ile ya Wauwaji wa Kihutu iliyokuwa ikiongozwa na Magufuli

Ndio maana nasema hatuna upinzani bali ni genge la wahuni tu…hawaaminiki maneno mengi kumbe hamna kitu….tuendelee kusubiria CCM ipasuke tupate chama cha upinzani cha uhakika sio hawa wachumia tumbo…
 
Samia hana merits. Huo ndio ukweli ndugu zangu.

Bibi yetu samia amepwaya mno hata tukimtetea vipi.
Hakuna anayemtetea mama. Watu wanatii tu maagizo ya mwendazake kuwa endapo atashindwa kabisa kutekeleza majukumu yake ya rais basi mama ndo awe rais. chama tawala ni kitiifu sana kwa maelekezo ya msingi ya mwendazake
 
Naunga mkono hoja. Samia tumuombee mungu nchi isitekwe na fisadi na mabeberu. Wamerukia na kumzunguka kwa nguvu na kwa papara.
Maskini samia sio hodari na mjuzi wa hila za vibaraka. Tumuombee aweze kutufikisha 2025 salama tuweze chagua magufuli mpya.
Habari njema ni kuwa magufuli mpya wa 2025 ni Samia. long live samia
 
Kumbe p sometimes unapatamo akili
 

 
Huyo unayemsifia yeye mwenyewe bila kubebwa na dola wala asingepita si 2015 wala 2020.
 
Waswahili wanasema ukiishi nyumba ya vioo usitake ugomvi wa mawe. Kwa kua umetangaza waziwazi na mapema vita na unaowatuhumu kutaka uraisi 2025 sasa kaa mguu sawa. Wenzio hua wanapigana kimya kimya sasa wewe ugomvi wa chumbani umeuleta sebuleni. Jiandae kupigwa vita nje nje na waziwazi kama ulivyoanza mwenyewe. Hili goma umelipiga mapema mnoooo.
 
Kwakwani Kwanizee wa galilaya amepanga kujitosa kwenye marathon ya2025🏃.
 
Yaani ukitaka kuona uchanga wa mtu kwenye siasa za Tanzania basi msikilize anaongea nini kuhusu Samia na 2025!!

Guys, moja ya sababu ambazo ma-CCM huwa wanatupiga sana bao ni namna wanavyo-handle mambo yao!!!

Huku nje unaweza kuona huko CCM kuna mtimbwalanyiko kweli kweli lakini haya majamaa yakishakutana tu Chimwaga, yanakuwa kitu kimoja!!

Hizi simulizi za CCM kuparaganyika, CCM kufa kibudu zilienea sana wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa CCM mwaka 2012!!!

Tena wakati ule kulikuwa na vigogo kweli kweli waliokuwa wanaonekana ndo wanaenda kuichinja CCM... hawa ni pamoja na Lowassa, Chenge, na Rostam Azizi!!

Kuna wengine wakafikia hadi kusema JK anapigwa chini uenyekiti... sie wengine tukawa tunacheka tu!!!

Pamoja na rabsha zote hizo, wafuatiliaji wa siasa watakumbuka kilitokea nini!!

The Main Villain Himself, Edward Ngoyai Lowassa wakaja kumchinja na kumzika kabisa 2015!!!

Hayo ndo ma-CCM!!

Hivi mwaka huu CCM si wanafanya Uchaguzi wake mkuu?!

Subirini basi kama hamajasikia Samia huyo huyo akichaguliwa tena uenyekiti kwa 100%!!
 
Mi naona ni mbali sn aondoke hata kesho
 

"Guys" - ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…