Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Mapendekezo yamepitishwa CHATO kuwa Mkoa na kikao Cha RCC tafuta hotuba fupi ya RC Geita.
 
JPM alikuwa ni muona mbaaali Sana, watu wenye mawazo mafupi, baada ya miaka michache ijayo, watakuwa wamejielewa ujinga wao, Mimi Naamini Leo wameukataa mkoa wa Chatto, lkn miaka ijayo, Chatto itakuwa mkoa tuu
Alikuwa fala tu
 
Uko sawa kabisa
 
Mwendazake zake alikuwa ni MWEHU hata kama ni kupendelea kwenu siyo kwa kiwango hicho.

Iko mikoa na wilaya kubwa sana hapa nchini pengine ndiyo ingestahili kuhawanywa. Kwa mfano wilaya ya Kiteto, Chunya, Kilindi, Mahenge, Tabora nk.

Wilaya ya Chunya ni kubwa kuliko baashi ya mikoa. Sasa huyu mtu ambaye alikuwa anaoendelea kila kitu kwenda kijijini kwake ndiyo mnamuita SHUJAA? Wengine wanamuita Mzalendo!!

Poleni sana yule alikuwa IBILISI ndiyo maana Mungu hakupendezwa na UPUMBAVU wake
 
Wewe u muongo umeandika maoni binafsi ya watu. Walikuwa wanatoa maoni hayo kwa kuwa watu wa Geita waliona kuwa Wilaya ya Busanda yenye madini ingeenda mkoa mpya wa Chato.

Makubaliano ya mwisho ni kuwa Wilaya ya Busanda inabaki mkoa wa Geita na kisiwa cha Rubondo kinabaki Chato

Mkoa wa Geita utakuwa na wilaya nne ambazo ni Geita, Nyang'wale, Mbogwe na Busanda

Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya tano ambazo ni Chato, Bukombe, Kakonko, Biharamulo na Ngara
 
Marehemu alikuwaga mjinga kwelikweli, yaani uende ukakate mkoa uliokatwa kutoka wilaya zingine uache mikoa kama Tabora na Morogoro yenye maeneo makubwa! Uendawazinu huu!
huyu jamaa ilikuwaje akaaminika?waliomuamini watikise tena akili zao
 
Tumepata SoMo kubwa kizazi chetu Mungu Baba apewe sifa na utukufu.Mataifa mengine mtihani viongozi kiimla huchukua decade kadhaa.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
"Uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Geita kukataa Mapendekezo ya kuanzisha mkoa mpya wa Chato ni wa busara, Wazo la kuiondoa wilaya ya Busanda kutoka mkoa wa Geita na kuifanya iwe sehemu ya mkoa mpya wa Chato, litaiodhoofisha kiuchumi mkoa wa Geita, siyo uamuzi wa busara" Makonda
 
Duh

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Sasa uongo wangu ni UPI hapo? Umesoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…