Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Hawa hawa wengi wao walisaidiwa kupita udiwani wao bila kupingwa ndiyo hao hao wanamkaanga....kama leo mwendazake angeibuka wangesema wamenukuliwa vibaya!! Walimaanisha isiwe mkoa bali liwe jiji.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Aiseee
 
Madiwani wako sahihi maana mkoa wa Chato ulikuwa unaenda kuundwa kwa kukata kipande toka Geita!
 
Wako sahihi, Chato haistahili kabisa kuwa Mkoa.
 
Kuna kata moja inaitwa Nyamigogo, ipo wilaya ya Biharamilo Mkoa wa Kagera, kijiografia hiyo kata ilitakiwa iunganishwe kwenye Mkoa wa Geita maana sehemu yake kubwa ipo jiran kabisa na kwa marehemu Jiwe. Jambo la kushangaza waliachwa wabakie huko, huduma za Umeme maji hawana kama jirani zao ambao wapo Mita chache upande wa Geita,
Zipo tetesi jamaa alikuwa na bifu kali na jao majirani zake.
We Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema muondokee dhambi zake zote marehemu JPM, ameen!
 





Kama ni hivyo basi hata sisi raia tumedanganywa sana kwa maslahi binafsi. Yaani hawa jamaa wanafanyiana hivyo wao kwa wao, je sisi raia. Unabelievable!!!
 
Wanatumiwa Na Mabeberu Hawa Siyo Bure
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
Nimekumbuka Andiko La Mradi Wa Bwawa La Nyerere
Dr Mmoja Aliukataa Mradi Akasema Haufai
Jiwe Siku Ya Uzinduzi Wa Flyover Tazara


Jiwe Akasema Yule Dr Akabadilishe Andiko Haraka Vinginevyo Tutamfanyia Chochote πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‰
 
Legacy ya Magufuli ni mkoa wa Chato ?

Kama ndivyo haiwezi kufutwa sababu ukimbishia vyote suala la Nepotism lilikuwa ndio jadi yake
 
JPM alikuwa ni muona mbaaali Sana, watu wenye mawazo mafupi, baada ya miaka michache ijayo, watakuwa wamejielewa ujinga wao, Mimi Naamini Leo wameukataa mkoa wa Chatto, lkn miaka ijayo, Chatto itakuwa mkoa tuu
Maisha ni leo sio kesho.
Kuvuja pesa kutengeneza kesho usiyokuwepo kwa kuacha vipaumbele vya leo ni matumizi mabaya ya akili.
 
Mbona Kahama hawalazimishi iwe mkoa_? Kama hivyo Geita iwe wilaya ipoteze hadhi ya mkoa Chato uwe mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…