Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

Huyu ndiye aliyechukua ela za hawa GSM. Geita wasitafute mchawi mwingine
 
Huu usanii mtupu utopolo mnatuharibia mpira, basi mwambieni huyo mjinga wenu angalau faulo zake amgongeshe mtu kwenye ukuta, sio anaipaisha tu kama zezeta.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kama kawaida nimewaambia
Hamna mkuu huyu hayupo sawa kisaikilojia. Awaza yeye pekee ndio afunge ili afukuzane kwenye mbio za ufungaji bora
 
Huu usanii mtupu utopolo mnatuharibia mpira, basi mwambieni huyo mjinga wenu angalau faulo zake amgongeshe mtu kwenye ukuta, sio anaipaisha tu kama zezeta.
Hela alipeleka Zungu kama kawaida yake anavyowapenyezea marefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…