PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.

They will always be some ass whippin to my fellow black brothers😄
 
Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.

They will always be some ass whippin to my fellow black brothers😄
Blood must water our freedom.
Tutafanya maandamano tu hiyo tarehe 9/12/2025. Maandamano ya kwanza ilikuwa nikuwaadhibu machawa. on the 9/12/2025 hatutatoa adhabu ni kwenda na kukaa Ikulu hadi CCM hatuachie nchi yetu.
 
Unaongea kama unaitawala dunia. Huyo bibi yenu ICC inamsubiri
MAANDAMANO ya tarehe 29 mlisema mtaangamiza kabisa CCM na machawa wote. Mmepigwa kama mbwa sasa hivi mnaitaja ICC ambayo awali hamkuiwaza kabisa.
ICC inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria.
Nyie wapumbavu hamna akili mmeshikwa na mabinti 3 tu ambao wako nje. Mnafanya kila wanachowaambia.
Mtadundwa vibaya sana safari hii.
Akili zenu zinaendeshwa na watu kama hawa 👇👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hizo silaha ulizozitaja hapo juu sishauri watanganyika kwenda kupambana labda kama wana SMG au AK-47 binafsi sitaenda kuandamana bila AK-47 nitakuwa zangu kwenye mtandao(najua kuna waliochukuliwa kutoka chumbani na polisi), awali pia tulishaonya sana kuhusu kutegemea JWTZ ambao tayari kuna mamluki, kwenye maandamano kwenyewe kuna wasaliti (polisi kanzu),
Familia nawasihi sana kwa machozi msiende kuandamana bila zana, hawa sio watu na hawataki hela kwani tayari wanayo, wanachotaka ni kututawala kiIRAN IRAN.
Labda nishauri kuhusu:
1. Gorilla warfare
2. Raia wawe na zana na sio panga wala mshale wala jiwe hamna hamna Pistol (AK-47 itapendeza zaidi), ukiwa nayo uwawinde usijichanganye kwenye wandamanaji wengi kuna watoa taarifa kwa wadunguaji kifupi jitahidi isionekane ili wasikudungue wewe kwanza kabla ya yote
 
Nimejifunza JF baadhi ya members huwa hawaamini vitu hadi vitokee na wengine wana mitazamo hasi. Maandamano ya mwanzo waliyabeza na siku hiyo asubuhi walianza kufungua manyuzi na kubeza kwamba watanzania ni waoga na hamna kitu kitafanyika. Na wengine waliwakatisha watu tamaa na kupinga, Taarifa imetoka tena watu wale wale ninawaona wamejitokeza kubeza na kuponda.

Kupitia bandiko hili ninaendelea sana kujifunza tabia za mwanadamu na namna tusivyo na misimamo.
 
Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.

They will always be some ass whippin to my fellow black brothers😄
Yeah.

Maandamano pekee yanayopendwa na viongozi wetu ni yale ya kuwasifia.

Kama yale yanayofanywa na UVCCM.

Kinyume na kusifia fanya maandamano at your own risk yawe ya amani au la.
 
Yeah.

Maandamano pekee yanayopendwa na viongozi wetu ni yale ya kuwasifia.

Kama yale yanayofanywa na UVCCM.

Kinyume na kusifia fanya maandamano at your own risk yawe ya amani au la.
Kwa hiyo unawashauri waishi kwa amani bila mkate wao wa kila siku?
 
Mkuu ishu sio kuwabeza au kuponda au kuwakatisha tamaa, ishu hamjajipanga hamna zana nyie mtakufa wengi, kwa mfano juzi magaidi walikufa wangapi na nyie raia mlikufa wangapi? walau muende na mitutu basi sio kama kondoo, wote mabadiliko tunayataka lakini sio ya bila mipango makini.
 
Ahaa nimetulia siku nyingi tu.ila msiendd Tena kizembe.chuma hata ukae MITA 100 inakupasua na panga lako.nafikiri mnatakiwa mfikiri Tena jinsi ya kumshinda aduu yenu.ndo maana sijasikia mpaka Sasa kama Kuna polisi aliyekufa unajua kwanini?
Uko Tz au wapi mkuu hujui lolote
 
Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.

Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.

Aione
IGP
Jumanne Muliro
Mnaonywa tena, tusisubiri yatokee.
Tukumbuke hata vijikaratasi vya 4R.
 
Hatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.

Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Uko tayari kuuzwa kama bidhaa sokoni ilhali hakuna uhuru wa kutoa maoni na kusikilizwa?
 
Ndivyo binadamu walivyo, hata kipindi babu zetu wanapigania uhuru, kulikuwepo na baadhi ya watu watanganyika walimwambia Nyerere kuwa hatuwezi kupata uhuru, ni risk sana kuwapinga wakoloni etc. Lakini Nyerere hakukata tamaa hadi tukapata uhuru. Sasa uhuru wetu umepokwa tena na wakoloni weusi lazima tusimame imara wala tusiogope
 
Awamu hii maandamano yaratibiwe vzr kupunguza madhara na pia namna ya kukabiliana na polisi kusudi nao wapate madhara stahiki.
Wenye elimu ya vilipuzi simpo simpo watoe waandamanaji wengi waipate kabla ya siku yenyewe
JWTZ watoe ushirikiano 💯sio kuendekeza usaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…