PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Polisi wakiwindwa kama wao walivyowinda raia wewe unaumia nini kwani mbona kaam unahasira ukweli ndio huo mzee polisi Sasa hivi wanawindwq jiulize kwanini hawatembi na gwanda zao wakiwa mmoja mmoja 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kuwinda polisi hakuna shida..
Tatizo huyo anaeongea, je yuko nchini na anajua uhalisi njia gani itumike
Au na wewe ni dayaspora?
 
Bila kusahau upinde na mshale tafadhali, na mshale upakawe sumu ya mamba. Safari hii itakuwa ni piga nikupige, tuone nani ataibuka mshindi. Genge la wapuuzi wasiozidi 500,000 haliwezi kukosesha amani Wananchi zaidi ya milioni 60.
 
Hawa ndio Wazanzibar wanaowaua Watanganyika sio?
 
Unadhani watu wataendelea kupigwa risasi kizembe tena? M23 itahamia hapa safari hii, na vile mko wachache mtafurahia show this time.
Mamluki wa Abdul na mapolisi wajinga 500+ wakipata mishale ya kwenye macho na masikio, itakuwa ndio mwisho huu upumbavu.
 
Dar zikipatikana RPG mbili mji utapigwa lock down
Choma vituo vyote vya mafuta hata wao hawatakuwa na sehemu ya kujaza mafuta.

Choma/lipua transforma zote tutafutane gizani.

Tutashinda tu, hata wao wanaishi huku mtaani na mahitaji yao ni kama yetu, tutakutana nao madukani na tutawawashia na kukwawasha moto pia.

Dawa ya moto ni moto.
 
Ni heri kila kitu kife ili tuanze upya nje ya mfumo wa CCM kuliko kuendelea kuishi katika mfumo buu kandamizi wa CCM.
 
Kumbe kuchoma moto mali za watu na za umma mlipanga kabisa,siyo kwamba mlifanya baada ya kupigwa risasi!!
Silaha siyo maandazi,watajifunzia wapi kuzitumia?
Yaani mkuu siku tatu unajifuza tiyari mambo yanakua sawa, tunataka kukomboa nchi yetu, iwe kwa raia tukitaka kuweka tunaweka' " tukitaka kutoa tunatoa, kuliko ilivyo sasa kwa genge la wahuni, wachache.
 
Uko serious kwelli hiyo 9D tunaingia road au tunajazana upepo af siku ya siku wote tujifungie ndani?? Mseme mapema kama kujiandaa tujiandae kweli kwelj
 
#MariaSpaces πŸ‘‡ πŸŽ™οΈ#OPENMIC πŸŽ™οΈ

@mariastsehai πŸ“ #9th_December #SamiaMustGo #tanzaniaIsBleeding
Msisahau leo #MariaSpaces - mjadala wa taifa unaendelea
Mkata swichi atakuwa kazini so mjipange
Leo tunajadili Way forward
Bunge letu litakuja na maazimio mengine njoo uchangie!
Kama kawaida leo usiku!

 
MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI JAJI JACOB
 
Viva Viva. Lazima tuikomboe tanzania. Nifedheha sana kuwa mtumwa chini ya mkoloni mweusi. Jamani tusikubali kamwe. Akina Nyerere walipigania uhuru wa nchi yetu. Leo watu wenzetu weusi wanatufanya sisi kuwa watumwa wao
 
Utasikia kauli za Maandamano hayo yamepigwa marufuku.
 
Mwanzo ulibeza kuwa hawawezi kuandamana Sasa Leo tunaongea lugha nyingine. Cha misingi serikali iwasikilize na kutafuta maridhiano. Ubabe , kamatakamata na kufungulia kesi vijana haitatibu tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…