Desemba 9, ndiyo siku ya uhuru kamili wa Mtanganyika. Kuanzia tarehe hiyo, yafuatayo yatatokea:
1. Mamlaka yatarudi kwa umma, na siku zitakazofuata nchi itawapata viongozi badala ya watawala, nao watawajibika kwa umma, kwa sababu watafanya kazi kama waajiriwa wa wananchi.
2. Marehemu wa 29 October, watapata heshima wanayostahili, na wauaji wao watafedheheka maisha yao yote.
3. Rasilimali za Watanganyika zolitapata njia ya kurudi kwa watanganyika ili ziwanufaishe Watanganyika, kama Mungu alivyowajalia.
4. Tanganyika itarudi katika uwazi, wala haitaishi kwa kificho.
5. Zanzibar na wazanzibari, watatambua kuwa Tanganyika siyo shamba la bibi, bali ni Taifa lenye wenye nalo.
Lakini hayo hayawezi kuja tu, kwa sababu waovu wanajua kuwa kwa kuja hayo, ndiyo mwisho wao wa uovu, na wao, uovu ndiyo imani yao. Hivyo watu wajiandae kwa kipindi kitakatifu cha mpito, kipindi cha kuuondoa udhalimu, na kuiita haki, ili amani isije kuharibiwa tena na hawa waovu. Hivyo, ili kujiandaa na kipindi cha kutafuta haki katika Taifa letu, hakikisha yafuatayo:
1. Nunua chakula cha kukutosheleza angalao kwa kipindi cha mwezi mmoja, kiweke kama akiba nyumbani mwako, kwa maana masoko yanaweza yasifunguliwe kwa sababu ya hofu.
2. Kama pols au wale maharamia wa kutoka Zenji, wakiwafanyia vurugu watafuta haki, chochote kinaweza kutokea, hivyo kama makazi yako yapo karibu na hao watu, ni vema ukaitafutia familia yako sehemu nyingine ya kujibanza.
3. Tambua kuwa Watanganyika wana hasira na wanaodhulumu rasilimali za Tanganyika, hivyo hakikisha familia yako huiachi karibu na makazi ya wazenji wadhulumu haki, na ambao walifanya mauaji ya kutisha dhidi ya Watanganyika.
4. Kama unatumia dawa za muda mrefu kama vile HIV, Blood Pressure, Kisukari n.k.; hakikisha umenunua za kukutosheleza kipindi kirefu.
5. Kama una pesa bank, hakikisha umetoa kiasi cha kutosha, hata kama banks hazitafunguliwa kwa mwezi mzima, ukiwafikiria pia ndugu, majirani na hata watafuta haki wenzako ambao wanaweza kuhitaji msaada wako wakati wakiendelea na kazi ya ukombozi.
6. Kama una magari, hakikisha magari yako yote umeyajaza mafuta full tank.
NB: Hakikisha unawajulisha wote ulio na uwezo wa kuwafikia kuwa tuna kazi kubwa na ya lazima, ya kurudisha mamlaka kwa wananchi, mamlaka yaliyoporwa na wakoloni weusi wenzetu, tena hawakujiita viongzi, bali wanajiita watawala.