General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Suala la kusema mambo ya mikataba ndio yaliyofanya Lissu apigwe risasi una uhakika au ni mawazo yako tu? Lissu alipomuita Magufuli Dikteta uchwara ilikuwa sababu ya mikataba? Kama ni mfuatiliaji huru wa siasa utagundua kuwa Magufuli hakuupenda upinzani na uhasama wake na upinzani ulianza alipozuia mikutano ya ndani na nje ya kisiasa ndipo akaanza kuvutana na wana-CDM hivyo tatizo halikuwa ni mikataba bali ni chuki ya Magufuli ya jumla kwa upinzani. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ulithibitisha chuki yake akahodhi uchaguzi na kujipa ushindi yeye na chama chake. Nape na hata mkuu wa wilaya ya Ngorongoro walithibitisha kuwa ule haukuwa uchaguzi.
 
Kutaka kuhalalisha utekaji ni ujinga uliopitiliza.

Ukweli mchungu watekaji, watesaji na wauwaji wote ni waovu kuliko shweitwani mwenyewe!
 
Anaehitajika kwa sasa sio mtu mwenye milpango. Iła uwezo wa ku-stabilise nchi wakati wahusika wana andaa mtu wa kuongoza nchi 2030.

Transition period inahitaji cool head and Mwinyi has it.
Another Mzanzibari can't stabilize Tanganyika, it's enough let's see a Tanganyika in place 2025 to rescue the Tanganyika resources from foreign invasion.
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania.

Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Huu ni mjadala usiokuwa na heshima. Lazima tuwe na mipaka ya uhuru wa maoni. 🙏🙏🙏
 
Basi tuhitimishe tunapishana kwenye tafsiri ya matukio yaliyopelekea Lissu kushambuliwa.’

Iła hakuna ushahidi wa Magufuli kutoa kibali cha hit (yes ni ngumu) kutetea hii jukwaani. Lakini mahakamani hakuna legal evidence to back the claims.
 
Huu ni mjadala usiokuwa na heshima. Lazima tuwe na mipaka ya uhuru wa maoni. 🙏🙏🙏
Uhuru wa mipaka ni kutotoleana maneno ya matusi tu sisi wenyewe na viongozi tunaowajadilli.

Ni kuheshimu tu kanuni za JF
 
Another Mzanzibari can't stabilize Tanganyika, it's enough let's see a Tanganyika in place 2025 to rescue the Tanganyika resources from foreign invasion.
I subscribe to that, but where is the steady hand from mainland politicians. A majority of them if not all have demonstrated what they are about (self serving first).

Mwinyi is a steady hand at the moment during the transition period whilst we asses or even moulding the leaders of the future.
 
Basi tuhitimishe tunapishana kwenye tafsiri ya matukio yaliyopelekea Lissu kushambuliwa.’

Iła hakuna ushahidi wa Magufuli kutoa kibali cha hit (yes ni ngumu) kutetea hii jukwaani. Lakini mahakamani hakuna legal evidence to back the claims.
Ok kwenye hoja yako kuhusu Gen Mabeyo nini ulitaka afanye ambayo yangenusuru hayo unayoona hayakutakiwa kutokea?
 
Mabeyo alifeli sana yani, na watanzania hatutamsamehe kamwe. kwanza hakufaa hata kuwa CDF
 
Chuki dhidi ya upinzani, hofu ya mawazo mapya, mahaba juu ya kichaa na kiu ya damu za watu katika ubora wake!!!

WanaJF, hatuhitaji kutafuta wasiojulikana mbali, wanajidhihirisha wenyewe!!!
 
Ok kwenye hoja yako kuhusu Gen Mabeyo nini ulitaka afanye ambayo yangenusuru hayo unayoona hayakutakiwa kutokea?
Angezingatia risk sssement ya ability ya mtu anaetaka kupewa nchi na mamlaka atakayokuwa nayo if she worth it kwa mustakabali wa taifa.

We unadhani kwanini hardcore republicans kama hakina Dick Cheney wapo tayari mwanamke wa kihindi kuwa raisi wao kushinda Donald Trump; nchi kwanza.
 
Chuki dhidi ya upinzani, hofu ya mawazo mapya, mahaba juu ya kichaa na kiu ya damu za watu katika ubora wake!!!

WanaJF, hatuhitaji kutafuta wasiojulikana mbali, wanajidhihirisha wenyewe!!!
This is a civil discussion

Mpaka sasa sijui tuko comment ya ngapi watukanaji wana hesabika.

Anyway good morning, as for me time to snooze.
 
M
Mkuu ndege wafananao huruka pamoja!!!
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania.

Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Mlikuwa mnataka kwenda wapi? Kawakosea nyie washenzi na sio wote.

Mwisho mziki gani mlionao nyie ambao huyo mtu hauwezi?

Jinga kweli,imewakata Hadi 2030 kama nyie ni mwamba mtoeni tuone si mnaweza mziki nyie? 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…