Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene ?Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona.Mtaisha mkifanya mzaha.
Badala ya kuhoji mama yake alipo yuko bize kuhoji wanaume wenzake walipo!!

Au wanaomlisha huko ukimbizini tayari wameshafanya yao kwa mpalange
 
Lisu alikuwa detailed, Lema sidhani kama ana credible source kama Lisu
Kabisa Lissu kwa issue za magu kweli alikuwa ana uhakika zaidi ya 100%. Source wake ni mkweli sana, hata kukamatwa bombadier hakutulisha tango pori ,hata kabla ya kushambiliwa alilitaja gari ambalo lilikuwa linamfatilia kila anapoenda.

Namshauri lissu akiwa anawasiliana na source wake asitumie voice ya kawaida au namba yake ya simu...Maana system za "KUTREPU" simu bado zipo.(LIN).
 
Kwasababu hawasikii, mimi nasema wacha yawakute na tena iwatandike kwelikweli.

Tukumbuke juzi walikuwa kwenye cabinet bila barakoa.
Mnajadili jambo msilolijua kabisa,nawaonea huruma sana,sijui ni lini waafrika(watanzania) wataanza kuutendea haki ubongo wao.

Mnachofanya ni sawa na wakristo na waislam wanaposema Mungu ni mmoja tu,lakini wakati huohuo wakristo wanasema Yesu ni Mungu ilihali waislam wanasema Yesu SIO Mungu,halafu ukiwaambia Mungu wa wakristo na wa waislam ni tofauti wote watashirikiana kukushambulia kwa pamoja,LAKINI FAHAMU KWAMBA,HAKUNA HATA MMOJA ALIYEWAHI KUMWONA MUNGU WAKE.

Akili kama hizi humu ndani ndio zinawapa credit mataifa ya kibeberu yaendelee kuendeleza agenda zake mbovu dhidi yetu.

SI LAZIMA mnielewe,kila mtu anaweza kubaki na anachojua ila UKWELI hubaki palepale,anayeutaka ukweli ataupata kama akiamua kuutendea haki ubongo wake.
 
Back
Top Bottom