Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Kabisa lissu kwa issue za magu kweli alikuwa ana uhakika zaidi ya 100%....Source wake ni mkweli sana ,hata kukamatwa bombadier hakutulisha tango pori ,hata kabla ya kushambiliwa alilitaja gari ambalo lilikuwa linamfatilia kila anapoenda.

Namshauri lissu akiwa anawasiliana na source wake asitumie voice ya kawaida au namba yake ya simu...Maana system za "KUTREPU" simu bado zipo.(LIN).
sahihi kabisa
 
Kama akili zenu ndio hizi hamtaki kuamini kuwa covid is real.
Mtaisha wote hata huyo mama samia
Kama kawaida,DATA zinaongea...

Naomba unitajie dalili 2 tu za covid19 ambazo zipo kwenye covid19 TU lakini HAZIPO kwenye Influenza.Lete ushahidi wa jibu lako.

Nakuruhusu ukaulize popote pale ukitaka ili uweze kujibu swali hili.

Ukizipata dalili hizo,naapa leo ndio itakua mwisho wangu kuandika kitu chochote humu ndani.

Swali hili ni changamoto inayowataka wengine waanze kutumia akili zao sawasawa.

NB;
Nawaibia kidogo data hapa chini
 
Lisu alikuwa detailed, Lema sidhani kama ana credible source kama Lisu
Lakini Lisu alishambuliwa sana kwamba analeta habari za uongo.
"Kuna watu wako nje wanazusha habari za uongo, rais yu mzima buheri wa afya anachapa kazi"
 
Kwa population ya watu wakati wa kumwaga hayati magufuli basi kama corona ipo itawamaliza watu. Kama njia za maambukizi ni hizohizo za njia ya hewa. Tusubiri wk moja itakuwa imejib. Tanzia zitakuwa nyingi sanaa. Ila Mungu awaokoe wananchi wetu jmn.
 
Ivi Jenister Mhagama ni nani kwenye huu msiba wakuu?

Kila kona yupo, kila location yupo anaonekana kuliko mawaziri wengine kwani yuko kamati ya mapokezi au vipi
 
Kama kawaida,DATA zinaongea...

Naomba unitajie dalili 2 tu za covid19 ambazo zipo kwenye covid19 TU lakini HAZIPO kwenye Influenza.Lete ushahidi wa jibu lako.

Nakuruhusu ukaulize popote pale ukitaka ili uweze kujibu swali hili.

Ukizipata dalili hizo,naapa leo ndio itakua mwisho wangu kuandika kitu chochote humu ndani.

Swali hili ni changamoto inayowataka wengine waanze kutumia akili zao sawasawa.

NB;
Nawaibia kidogo data hapa chini
Ni ugonjwa wa kawaida tu kama mafua mengine kupitia Gazette la habari leo, je ulikuwa unataka kutuongezea kitu gani Deception..
 
Lakini Lisu alishambuliwa sana kwamba analeta habari za uongo.
"Kuna watu wako nje wanazusha habari za uongo, rais yu mzima buheri wa afya anachapa kazi"
Kifo cha Rais kimeshusha hadhi za watu wengi akiwemo, Musiba
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene ?Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona.Mtaisha mkifanya mzaha.
Ccm wamesahau sala aliyo omba kule Tanga wakati wa kampeni za uchaguzi.
Kama hamta omba toba na kukiri mliiba kura, mtakufa wengi.
Kwani hiyo korona iko Ccm tuu?
Hiyo ni halbadiri mzee
 
Siku hizi mtu asipoonekana kwenye camera wiki tu anazushiwa kuwa mahututi au kafa.

Nasubiria kusikia kuhusu Membe.
 
Ni ugonjwa wa kawaida tu kama mafua mengine kupitia Gazette la habari leo, je ulikuwa unataka kutuongezea kitu gani Deception..
The termed 'covid19' kwanini umepewa air time kubwa sana wakati hauna tofauti YOYOTE kidalili na Influenza?

Na kwanini ulipuke majira sawa na influenza?

Covid19 upo chini ya mwamvuli wa Influenza kama HIV alivyo chini ya mwamvuli wa ARVs kama HPV anayesemwa kusababisha cancer ya kizazi kwa wanawake alivyo chini ya mwamvuli wa ARVs,njia za kisasa za uzazi uzazi wa mpango na bad lifestyle.

NI akili ndogo tu imetumika kudanganya umma.
 
Mnajadili jambo msilolijua kabisa,nawaonea huruma sana,sijui ni lini waafrika(watanzania) wataanza kuutendea haki ubongo wao.

Mnachofanya ni sawa na wakristo na waislam wanaposema Mungu ni mmoja tu,lakini wakati huohuo wakristo wanasema Yesu ni Mungu ilihali waislam wanasema Yesu SIO Mungu,halafu ukiwaambia Mungu wa wakristo na wa waislam ni tofauti wote watashirikiana kukushambulia kwa pamoja,LAKINI FAHAMU KWAMBA,HAKUNA HATA MMOJA ALIYEWAHI KUMWONA MUNGU WAKE.

Akili kama hizi humu ndani ndio zinawapa credit mataifa ya kibeberu yaendelee kuendeleza agenda zake mbovu dhidi yetu.

SI LAZIMA mnielewe,kila mtu anaweza kubaki na anachojua ila UKWELI hubaki palepale,anayeutaka ukweli ataupata kama akiamua kuutendea haki ubongo wake.
Tangu Lin Mwafrica akamzidi Mzungu ? Hyo ipo verified kabisa kwamba Africa ni underdog Kwa Wazungu , 🚶🚶🚶 ni vema tunapokabiliana na hawa watu tujue namna vyema ya Kula nao sahani moja maana ushindi kwetu ni minimal .......

Pote Tu Mwafrica alipoinuka kwenda direct against na hawa watu Mtu mweusi ndo aliishia kuumia ....

Wote akina Kijenkitile ngwale, Mkwawa , Martin Luther , Muamar Ghadafi, Mghabe na wanaharakat wote waliishia kuangukia Pua ......

Inahtaj smartness ya Hali ya juu kukabiliana na hawa watu......

Tutajidai kusema napigania Taifa huku hakuna tunachopata , mnaambulia Vifo na maisha magumu ...!!

JPM alikuwa na nia dhabiti na Taifa , Ila mikakati yake ilighubikwa na ukurupukaji mwingi, kukosa hekima na busara , uropokaji usio na tija , kukosa hekima ya kukabiliana na wanaokupinga na utumiaji wa nguvu wa wazi wazi ....na hiki ndo kimemwangusha ......
 
Back
Top Bottom