Tangu Lin Mwafrica akamzidi Mzungu ? Hyo ipo verified kabisa kwamba Africa ni underdog Kwa Wazungu , 🚶🚶🚶 ni vema tunapokabiliana na hawa watu tujue namna vyema ya Kula nao sahani moja maana ushindi kwetu ni minimal .......
Pote Tu Mwafrica alipoinuka kwenda direct against na hawa watu Mtu mweusi ndo aliishia kuumia ....
Wote akina Kijenkitile ngwale, Mkwawa , Martin Luther , Muamar Ghadafi, Mghabe na wanaharakat wote waliishia kuangukia Pua ......
Inahtaj smartness ya Hali ya juu kukabiliana na hawa watu......
Tutajidai kusema napigania Taifa huku hakuna tunachopata , mnaambulia Vifo na maisha magumu ...!!
JPM alikuwa na nia dhabiti na Taifa , Ila mikakati yake ilighubikwa na ukurupukaji mwingi, kukosa hekima na busara , uropokaji usio na tija , kukosa hekima ya kukabiliana na wanaokupinga na utumiaji wa nguvu wa wazi wazi ....na hiki ndo kimemwangusha ......