Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Kama kufa wote tutakufa anayehimiza kuvaa barakoa jf hata yeyeye mtaani anqdunda bila hizo
Kuna Ile mitaa ambavyo haina misongamano ila sokoni na mitaa iliyosheheni watu Mimi huwa navaa Barakoa
 
Au amechanganya jina la George?

Maana kuna George Mkuchika na George Simbachawene.
 
Simba chawene alilia kama mtoto pesa alizo pewa apeleke gongo la mboto wamechukua masela mtaa wa congo!!!
 
Inapunguza kiwango cha kusambaa kwa kirusi pamoja na kutokaa karibu karibu
Watu wahimizwe njia zote ikiwa kunawa mikono, social distance n.k coz naona uhimizaji umekuwa barakoa tu as if wakishavaa barakoa Mambo yameisha
 
Unauliza majibu..
Watu waelumishwe vzuri coz nachoona mtaani watu wanadhani wakishavaa barakoa tayari ashakuwa salama. Kunaishu ya social distance, kunawa mikono na sanitizer vimepuuzwa sana afu tunajiaminisha kuvaa barakoa ndio solution. Nakubal barakoa ni miongoni sio kwa inamaliza tatzo
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Nasikia kuakuwa na tangazo tarehe 26 usiku au 27 asubuhi!
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
I smell something here, hii teeet siyo ya kupuuza
 
Back
Top Bottom