Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Kipindi hiki cha msimba kitawagharimu sana wapinzani maana Watanzania wanaona kila kinachoendelea, hata kama walikuwa na chuki zao binafsi na Magufuli huu si wakati sahihi wa kuzionesha. Tunapaswa kuungana pamoja kumsitiri mwenzetu then siasa zetu tutaendelea nazo baadae. Chadema mnachofanya sasa kitawagharimu sana 2025 na chaguzi nyingine ndogo zitakazojitokeza.
Naungana na Mrisho Mpoto kumuaga Rais wa awamu ya Tano
 
Aisee, hayo ndiyo maono yako!?
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Hivi nayeye ni Mtanzania? Tuanzie hapo Kwanza.
 
Mbona kama jamaa yupo hapa au macho yangu yanakichina china !!
IMG_20210322_142821.jpg
 
Kwasababu hawasikii, mimi nasema wacha yawakute na tena iwatandike kwelikweli.

Tukumbuke juzi walikuwa kwenye cabinet wakiwa wamejiachia tu.
Mimi nataka iwatandike kisawasawa hawana adabu..
Juzi kwenye cabinet meeting nilimuona Dr Mpango yupo pale anapiga miayo bila mask huku pembeni ake amekaa Mwigulu na Ummy..acha iwanyooshe maana kutovaa barakoa ni legacy wameachiwa na meko.
 
hivi kweli Watanzania tumerogwa na sio kulogwa.....kwa staili gani........kweli viongozi mmetulia kimya na mnajuakorona yupo kazini...kweli kweli mnataka tuzikane mpaka wapi......poa wacha tujilipue.....nchi itabaki watoto tuu hii....
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Wewe hujamuona simbachawene?
 
Mwambie atulie,
SIMBA CHAWENE TUNAMPA UMAKAMO WA RAIS.

YUKO ANA TAWA
 
Kwaiyo lema amekua mshenga wa izraili mtoa roho?
 
Back
Top Bottom