Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Ataisha yeye na wapuuzi wenzake, kwani nani amekatazwa kuvaa barakoa?
 
The termed 'covid19' kwanini umepewa air time kubwa sana wakati hauna tofauti YOYOTE kidalili na Influenza?

Na kwanini ulipuke majira sawa na influenza?

Covid19 upo chini ya mwamvuli wa Influenza kama HIV alivyo chini ya mwamvuli wa ARVs kama HPV anayesemwa kusababisha cancer ya kizazi kwa wanawake alivyo chini ya mwamvuli wa ARVs,njia za kisasa za uzazi uzazi wa mpango na bad lifestyle.

NI akili ndogo tu imetumika kudanganya umma.
Hebu fafanua kidogo kwenye HPV pia iko kwenye kampeni sana.
 
Kweli kwa staili hii tutafika,wao wanakazana kutuprove wrong tunaosema tz kuna korona
FB_IMG_1616236042788.jpg
 
Simbachawene alikua uwanjani jana...Uwanja wa Uhuru
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Corona haipo Tanzania, msitulishe matangopoli. Ila kitajulikana tu ipo siku. na mambo yote yatakuja kuwa hadharani. Cha kuweka kichwani ni kimoja, tu ni kwamba Magufuli ameiacha Tanzania ndani ya mioyo ya watanzania. Hapa, ndio pana kazi.
 
Ni suala la muda tu. Corona yupo kazini kwenye baraza la mawaziri wa hayati jiwe. Woga wao na kujikomba kipuuzi kwa jiwe sasa kutawapukutisha kwa Corona.
Hatujipendekezi kwa jiwe, twajipendekeza kwa Mingu ,
Maana imeandikwa , 'Mwenye Hali wangu ataishi kwa imani'
 
Kwaiyo lema amekua mshenga wa izraili mtoa roho?

..Lema alitabiri kifo cha Meko akawekwa kizuizini miezi mitatu.

..sasa Simbachawene asikae kizembe-zembe anaweza kuondoka.
 
Hatujipendekezi kwa jiwe, twajipendekeza kwa Mingu ,
Maana imeandikwa , 'Mwenye Hali wangu ataishi kwa imani'
Waebrania 10 : 38
"Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye. "
 
Back
Top Bottom