Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni nani awezaye kujua mwenzie ni mbaya kuliko yeye? Hapa duniani kuna mtu anauwezo wa kujua ubaya? Hilo neno linaonyesha kwamba binadamu anapower hiyo? Anyway Bible kila mtu anatafsiri yake......Sawa sana!
Ila Mungu Ametuagiza kwa Ukali
[emoji116][emoji116]
EZE. 33:8-9 basi mtu awaye yote Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako. Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye asiiache; atakufa huyo katika uovu wake, lakini wewe umejiokoa roho yako.
Mungu tenda kwa huyu Spika mpuuzi
Betina akizingua naye anapigwa kitu akiingia mjengoni macho yanakufa akitoka nje yanapona.Kwa hiyo tutarajie spika mwanamke. Nchi hii itaendeshwa na wanawake kila sekta sasa
Kazi yetu ni moja tu kuwashitaki kwa mungu na miungu wa mababu zetu
Duh hua simuamini huyu mchawi ila safari hii ndugai umekunya barabarani. Ama uzoe au city wanakukamata 😂😂
Uliwahi kushiriki naye!?Hivi yeye dhambi ya ujambazi na wizi wa magari aliitubu lini?
Chadema ndiyo imesema hayo au ni G. Lema!!!??ndipo akili za chadema zilipofikia hapa.
tukisema hamna upinzani bali genge la wahuni nchini mnang'aka.
anajivika jukumu la kuwa mshitaki mbele za Mungu ili!!!!
Ishuke kama mwewe shwaaaaIshuke adhabu chaap kwa haraka
Hhahahahahaa u made my dayChadema ndiyo imesema hayo au ni G. Lema!!!??
Serikali ihakikishe watoto wanapata lishe bora ili tuondokane na watu kama wewe.
😆😆😆 una huruma sana !Chadema ndiyo imesema hayo au ni G. Lema!!!??
Serikali ihakikishe watoto wanapata lishe bora ili tuondokane na watu kama wewe.
Chadema ndiyo imesema hayo au ni G. Lema!!!??
Serikali ihakikishe watoto wanapata lishe bora ili tuondokane na watu kama wewe.
Sasa kama hujui kama lishe bora inasaidia utimamu wa ubongo,utajua nini lingine!!? Ndio maana upo hivyo ulivyo. Jitahidi wanao wapate lishe bora ili wasije kuwa kama wewe.hujui hata lema ni nani!!!!
lishe bora imekusaidia nini sasa zaidi ya kunenepa???
tatizo lenu nyumbu ni moja,kuongea bila kuzingatia nafasi yako kwa jamii.
Sasa kama hujui kama lishe bora inasaidia utimamu wa ubongo,utajua nini lingine!!? Ndio maana upo hivyo ulivyo. Jitahidi wanao wapate lishe bora ili wasije kuwa kama wewe.
Kama hujui ubaya na wema basi ukae ukijua dhamira Njema Aliyo Kuumbia Mwenyezi ndani yako Imejifia!Ni nani awezaye kujua mwenzie ni mbaya kuliko yeye? Hapa duniani kuna mtu anauwezo wa kujua ubaya? Hilo neno linaonyesha kwamba binadamu anapower hiyo? Anyway Bible kila mtu anatafsiri yake......
Binadamu ujuaji umetuzidi sanaKama hujui ubaya na wema basi ukae ukijua dhamira Njema Aliyo Kuumbia Mwenyezi ndani yako Imejifia!
Mnaowazarau, watu KWA mtazamo wa nyama na sio kiroho, mtabeza,ila sie wa kiroho zaidi,japo sio wachungaji, hatuna makanisa tunaelewa mungu asivyo na upendeleo katika kumtumia kila aliye mpa pumzi, Ndugai usipuuze Hili, asema bwana
Afe na aoze ndani ya saa moja , kudadadaki.[emoji38][emoji38][emoji38]