Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?

Anatumia ela ya serikali au ela yake?

Why apangiwe akatibiwe wapi?

Mbona ujiulizi why kiongozi wa umma ananunua kiwanja kwa bilion mbili and why asinunue viwanja vya laki mbili mbili?
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Mkuu wewe kwa akili zako hawa madaktari machawa wa mama si wana weza kumdhuru ..? Hakuna mtumishi wa umma tz anaweza kataa oda ya mkuu wa kaya so kuepusha majanga zaidi anavhofanya lema ni sahihi anayo haki ya kutibiwa popote duniani
 
asilete janjajanja ilo bega anaweza kukaguliwa hapahapa ndani ya nchi
 
Kwani alikuwa nakwenda kutibiwa hospitali gani na dk nani lini? kumbuka Lema ni senior citizen, amepata kuwa mabunge wa taifa letu, anazo siri nyingi kuhusu nchi. Hawezi kupuyanga tu anavyotaka.

Leta hicho kipengele kwenye sheria za nchi hii. Usiishi kwa kudhani na kutoa unavyofikiria. Na kama kuna lililo ndivyo sivyo, ita mtu mpe notisi na sababu husika kwa mjibu wa taratibu, ya nini kuviziana?

Tunajitengenezea maswali bila sababu za msingi.
 
Mbona kikwete alivyokua na kibusha tu alienda kufanyiwa upasuaji marekani
 
Kwann alivyorud hqkufunguliwa kesi ya kuvuka mipaka bila kufuata utaratibu?

Kasome sheria ya uhamiaji namba 7 ya 1995.
Wamelezea vizuri

Jijengee tabia ya kujisomea
Mie nimekuuliza tuu, ungenijibu kama kipindi kile hakupitia namanga alipita njia za panya
 
Ajabu gani hii, 😲 mizengwe inayoendelea ya kutaka asiwepo kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA inayosimamiwa na Msajili wa vyama, Lema kama binadamu hata akiamua kususia siasa hizi za majitaka na kuungana na familia yake Canada, hilo nalo linawakera? .... 😳
Labda kuna kitu wanahofia, na kwanini Lema asingebadili style wakati anawajua au alijua itakuwa kama mwanzo alivyojaribu na akafanikiwa
 
Ni haki yake! Kwani Canada wamemzuia? Mke wake watoto wake wao sio binadamu? Hawastahili angalau kuwa na mtu wao wa karibu?
Hebu acheni wivu nyie watu!. 😡
Ndiyo ni haki yake , kwani ilikuwa ni haki ya kanisa kufungwa yani unaongelea haki sehemu ambayo inatafutwa kwa tochi unaa akili kweli wewe?
 
Mbona nyie mkishikwa mafua tu break ya kwanza ni india, SA, au USA na hakuna anayewauliza au kuwazuia pale eapoti?
Y
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
 
Kila mtu yupo huru kwenda popote kufanya lolote. Acheni ufala.
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
unataka atekwe?
 
Unampangia mtu pa kwenda? Viongozi wako wanapokwenda kupima pressure na mkonjo ujerumani mbona husemi?
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Ni ujinga kumpangia mtu hospitali ya kwenda kutibiwa, nyie wajinga mnataka akatibiwe Magomeni au Ilala kisha mumlazimishe amsifu Samia kwa kumtibu, hataki hayo.
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Mzee kwenye issue za Medical kuna
PATIENT AUTONOMY
PRIVACY
NON MALEFICIENCY/ BENEFICIENCY
 
Back
Top Bottom