Hofu yenu ndio iwe sababu ya kutumia vyombo vya Dola kumuadhibu mtu kwa kuwa yuko tofauti na mtizamo wenu?Labda kuna kitu wanahofia
Mbona watawala wenu wanazurura nje kutafuta matibabu? Au Lema kwenda Kenya mnahisi anaenda kukutana na GenZ? Mna hofu gani? Na kwanini muwe nayo??Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Jadili hoja, usiingize personality maana ni mada nyingine tofauti na hii, oh! ... Zingatia kuwa majibizano haya kati yangu mimi na wewe ndiyo yanayoweza kuamua nani ana akili kati yetu sisi wawili kwenye hoja hii... 🤓Ndiyo ni haki yake , kwani ilikuwa ni haki ya kanisa kufungwa yani unaongelea haki sehemu ambayo inatafutwa kwa tochi unaa akili kweli wewe?
Mimi tena jamani, yani mimi lema ananihusu nini mpaka niwe na hofu nae, mimi sio serikali na mimi si miongoni mwa walio mzuia, inshort sina maslahi nae.Hofu yenu ndio iwe sababu ya kutumia vyombo vya Dola kumuadhibu mtu kwa kuwa yuko tofauti na mtizamo wenu?
Nimekushangaa wewe unae ongolea haki wakati hali halisi unaijua na Lema alipaswa kutumia akili ile ambayo alitumia kipindi kile au pengine amelifanya kimkakati akijua fika atazuiwa.Jadili hoja, usiingize personality maana ni mada nyingine tofauti na hii, oh! ... Zingatia kuwa mabizano haya kati yangu mimi na wewe ndiyo yanayoweza kuamua nani ana akili kati yetu sisi wawili kwenye hoja hii... 🤓
Tunaposema agenda yenu CHADEMA ya kutuuza Watanzania muwe mnatuelewa.Kuna huduma gani bora kwenye hospitali zenu CCM?
Bora wachukue wakituqlangusha tunachqgua chama kingineShida ya Tanzania sio CCM Bali ni watu wenyewe.
Anayetegemea mabadiliko upinzani ukichukua nchi anajidanganya..
Angejaribu kutoroka kwa njia za panya ndo angeharibu kabisaa. Bora hii ya kujifanya kama unaenda hospital halafu unanyoosha mbele kwa mbele Canada.Mtu akitoroka nchi huwa anapitia migration?
Unajua kutoroka kukoje kisheria?
Embu kasome kwanza halaf urudi hapa
Arusha ni karibu na Nairobi.Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
No reforms, No electionImeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Sisi kwenye mitaala yetu kulikuwa na module ya critical thinking. Wewe unasubiria matukio yatokee sisi tunayazuia yasitokee.Sasa wewe na sisi inatuhusu nini jamani??Mtu aende popote tu, halafu hypothesis zako unazitaja hapo ni kama ziko sahihi, yaani unamajibu
AKIENDA KWA MENGINEYO INAWAHUSU NINI??Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
so your critical thinking tells you all Chadema members are terrorist😅😅 Do you know what is Democracy do you know what are rights? FEAR AND DESPERATE SHINING ON CCM FLAGSisi kwenye mitaala yetu kulikuwa na module ya critical thinking. Wewe unasubiria matukio yatokee sisi tunayazuia yasitokee.
Lets say Alikuwa anaenda kumsalimia Boniface na Martha what is the Problem?? MNATENGENEZA CHUKI NA WANANCHI NOTHING ELSEImeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Kama yule daktari alieshinda WHO alifia nje tena akiwa mbunge na viongozi kibao waliorudishwa wamedanja kutokea nje kunakua hakuna hsopital hapa nyumbani wanazosema wamejenga? Acheni utapeli u akwenda pahala unapoona unapata huduma bora sio bora huduma kwani alikua akitumia hela ya wapiga kura kwenda hospital kama nyie mnaofilisi mfuko wa bima ya afya?Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
nawaonea huruma sana wanaojitoa kuwapambania hawa wanasiasa, wenzako kiknuka tu ashachukua usafiri katua canada ilihali wanaopambana wanaishia kupoteza uhai na familia zao kuingia kwenye matatizoImeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Kwani wewe umetoa wapi mamlaka ya kumpangia mtu mwingine hospital ya kwenda kutibiwa?Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.