Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

Lema tulia tu. Magambo anakushinda sasa una bwabwaja. Mpleleke huko Coco beach kimyakimya tu
 
Wahuni wawili wauaji na dhuluma katika idara tofauti medani moja ya ujambazi wanapotambulishana vyeo vyao!
 
lakini lema alikuaga mpiga ngeta wa malori,
hiyo tabia ametubu na ameacha na sasa amekua kiumbe kipya, mtu mzuri mtoa taarifa makini.
kwa hili tunashukuru Mungu na kwakweli tumefurahi sana.

sasa yeye alibadilika kutoka kua muovu hadi kua nabii mtoa taarifa,
kwa neema na Baraka za Mungu, makonda pia atabadilika na atakua kiumbe kipya, mtu mwema na pengine akawa nabii mtoa taarifa kama lema.
Asant...
 
Kweli kabisa
 
Unabii wa Lema unaashiria ya kuwa Bashite ni "mfungwa mtarajiwa"
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
 
Eti na huyu alikuwa Mhe. Mbunge na nasikia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CDM.

Anajifanya mgumu wakati alipopata fununu tu zenyewe za uzushi akakimbilia Canada kupita Kenya.

Sasa yeye ana ugumu gani? Anajiita kamanda mbona aliikimbia nchi? Wananchi aliokuwa anataka kuwapigania akawaacha solemba!

Hapo nani mlaini kuliko maini? Lema ni jambazi na Mhuni na mwizi wa magari. Tena atulie kabisa! Yeye ana kipaji Cha kuwatabiria wenzake mabaya, kama ana ubavu ajitabirie yeye atakuwa nani kesho?

Shekh Yahaya alikuwa anawatabiria wenzake kifo lkn Cha kwake hakujua kilikujaje, na leo hii hatuko naye tena..RIP Shekh Yahaya mtaalamu wa kutabiri matukio ijapokuwa hukuweza kutabiri ungekufa lini!
 
Nabii kazini !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…