Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

Lema ana kitu never say never time will tell ngoja Rais Hassan aondoke mtashuhudia mengi tuombe heri ya Uzima tuishi miaka 90-100 God I humbly submit and thank you cordially 🙏🙏🙏
 
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
Kumbe ww ni shahid nenda mahakamani
 
Back
Top Bottom