Weka ushahidi kuwa ni watu wa usalama ndio wamehusika...
Ifike mahali tusiwe watu wa kuhukumu. Tuache vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake then vitakuja na ripoti kujua ni kwanini alipotea...
Ni kweli Malisa GJ amevamiwa nyumbani na watu wa usalama wa Taifa wameondoka naye
Ndiyo maana wametaka hii habari ienee kwenye mitandao ya kijamii. Yaliyomkuta Ben hatukuyajua kwasababu walichukuliwa kimya kimyaDuh! Akaondokaje nao kama hawakumlazimisha? Kwasababu inategemea na walivyojitambulisha. Polisi ki kawaida lazima wamjulishe kiongozi husika wa hapo anapoishi. Na hapo ni endapo kuna RB. Sasa yeye anafahamu fika issue za kutekwa hata Ben Saanane alikuwa rafiki wake wa karibu. Anafahamu kuhusu Azory Gwanda, maana waliondoka naye kwa style hii.
Tangu utawala huu wa awamu ya 5 umeanza, vyombo hivi vinavyoitwa vya usalama vimegeuka kuwa magenge ya kihuni na wauaji ndio maana watanzania hushtuka sana mtu kuwa mikononi mwaoKama ni vyombo vya usalama mbona mnahamaki sasa?
Hiki kimekuwa kichaka sasa, kila kitu kukashifu, mara matusi.... Kwa nini hizo hoja zisijibiwe? Juzi Mhe rais kaekeza watanzania siyo wajinga kwa mambo yanayofanywa na polisi, kitu ambacho ni sahihi kabisa!! Ingekuwa kasema mwingine tayari ungesikia anaichafua serikali, acheni hizooo.... Watu siyo wajinga...Siku zote malisa anaikashifu selikali yaani ujinga wake hautofautiani na mage kimambi
Anaitwa Godlisten Malisa na siyo Godbless Malisa.View attachment 1041855
Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach
View attachment 1041916
Tangu utawala huu wa awamu ya 5 umeanza, vyombo hivi vinavyoitwa vya usalama vimegeuka kuwa magenge ya kihuni na wauaji ndio maana watanzania hushuka sana mtu kuwa mikononi mwao
Una uhakika na ulichokiandika ? Kuna cku utaambiwa ulete ushahidi ndipo utako iona dunian kuna watu hatari kua na akiba ya maneno.Awamu hii Usalama wamekuwa kikundi cha kuteka wana inchi
Jana mabalozi waliambiwa waufyate kama wana issue waongee na Kabudi lakini si tweeter au Facebook.Anaitwa Godlisten Malisa na siyo Godbless Malisa.
Kwahiyo baba hajamwaga damu za watu muda ameona aanze tena!
Hakika jiwe atakumbukwa kwa kumwaga damu nyingi sana za watu wasio na hatia
Jiwe ni laana katika nchi hii