God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Uwezo wa kufanya uovu na ubaya amenipa Mungu, sio? Mimi kufanya uovu ni matokeo ya kushindwa kufanya mema kutokana na vichocheo vya ubaya kuzidi ndani yangu, sasa nani aliniumba hivi? Kwanin aruhusu vichocheo vya ubaya kuzid wema ndani yangu? Utasema mim ndo nimechagua, Kwanin nimechagua ni kwasababu ya udhaifu uliopo ndani yangu ambao Mungu ameniumbia nao, kwanin aniwekee mtego huu?
Wewe kufanya uovu ni matokeo ya wewe kuacha kufanya mema, maana yake ungetaka kufanya wema ungefanya ila ukachagua kufanya uovu. Kwahiyo hiyo ni juu yako.

Sababu amekupa uhuru, yaani amekupa vyote ukitaka kufanya wema unafanya na ukitaka kufanya uovu unafanya. Kwahiyo kufanya kwako wewe uovu ni matokeo ya kuzembea kadhalika.
 
Nishakujibu

Hakuna cha utashi what seems to be utashi is just an illusion though you may experience a freedom lakini in reality everything has been predetermined and you have no freewill to choose otherwise
Nashangaa sana kwanini hujibu swali langu.
 
Utetezi wako ume contains logical fallacy kama attempt yaku fabricate hoja ionekane factual

Mabaya yanayotokea bila kuamuliwa na mtu umetumia red herring fallacy kuyafanya yasionekane mabaya na kwamba ni mambo ya kawaida yasiyopaswa kuwa considered kama mabaya

Matetemeko, vimbunga, tsunami, nk. hayo ni mabaya ambayo yanafanyika bila watu kuamua yafanyike

Ikiwa kila baya linalotendeka hutokana na maamuzi ya watu, mfano mtu kamsababishia mwenzake kufa hilo tunaweza kuliweka katika matokeo ya uamuzi wa mtu

Lakini vipi kwa matsunami yanayoua maelfu na kuacha watu wakiwa na majonzi kwa kuondokewa na watu wao wapendwa wakiwemo watoto wasio na hatia?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya kama hayo hayawezi kutokea?
Itoshe kusema tunaishi dunia tofauti. Na usidhani nimesema mabaya ni mazuri. Hapana. Hata mi wapendwa wanapopatwa na maafa naumia

Katika dunia yangu naamini katika kusudi/sababu. It is the philosophy I live with nikiendelea kujifua kuishi ile ya 'tunafanya mambo yatokee'. Ikiwa upo kundi la mambo hujilipukia tu hizi logic zangu zote zitasomeka kama fallacies kutokana na premise ulojiwekea wewe. Ila kwangu it is logical all the way
'Shit happens' is the worst philosophy to live with. 'Shit happens for a reason' is healthy, w...jpg
 
Itoshe kusema tunaishi dunia tofauti. Na usidhani nimesema mabaya ni mazuri. Hapana. Hata mi wapendwa wanapopatwa na maafa naumia

Katika dunia yangu naamini katika kusudi/sababu. It is the philosophy I live with nikiendelea kujifua kuishi ile ya 'tunafanya mambo yatokee'. Ikiwa upo kundi la mambo hujilipukia tu hizi logic zangu zote zitasomeka kama fallacies kutokana na premise ulojiwekea wewe. Ila kwangu it is logical all the wayView attachment 2243397
Swali hili sijui kama uliliona

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya kama hayo hayawezi kutokea?
 
Swali hili sijui kama uliliona

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya kama hayo hayawezi kutokea?
Angeweza na hakufanya hivyo bali akatupatia kitu chema zaidi kwa wakati wetu.

Hivi niseme mara ngapi kuwa mzazi anayemlinda mwanawe na kila kitu kibaya. Na kumpatia kila kitu kizuri mwishowe huwa tunacomment babake/mamake alimuharibu?
 
Mungu mwenye upendo wote kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya ni logic, kinyume na hapo ni logical contradiction

Kama kitu chema ni pamoja na kuruhusu mabaya kuwepo, kwa hiyo huko peponi ambako hakuna mabaya sio sehemu nzuri?

Mfano wako wa mzazi na mtoto ni irrelevant kwasababu mzazi hana upendo wote, hana ujuzi wote, hana uwezo wote kiasi cha kufanya jambo bila kukosea
 
Sijui kuhusu Mungu unayemuimagine wewe lakini ngoja nikupatie Mungu kwa picha yangu:

Anapenda kuzungukwa na viumbe wenye uwezo na utashi wa kufanya maamuzi sahihi.

Anapenda sisi tuwe viongozi wenye akili utashi na upendo na utakatifu kama yeye mwenyewe.

Wakati huo tuwe na identity yetu na yeye abaki na identity yake. Akituumba kama yeye kila kitu na kila sifa za yeye anakuwa amejipiga kopi tu wala hajaumba.

Huko mbinguni sio mahala pa kukaa na na kuimba na kusifu tu bali ni sehemu ya kutawala pamoja na Yesu at least kwa hatua za mwanzo. Sasa ili uwe kiongozi mzuri ni lazima uwe umepitia hatua fulani za kutatua changamoto kubwa mfano tsunami au tetemeko. Kwa hiyo nitasema yote haya yana kusudi. Swaga za kuwaambia watu mbinguni ni kufaidi tu bila kazi ni kwa ajili ya watu wazembe. Hivi huoni hata Mungu angeweza kubaki tu mwenyewe ila akaamua kufanya kazi ya kuleta viumbe wa kuwaangalia akina sisi na malaika.ww

Mbinguni hakuna matsunami ila kuna wakati itabidi kupambana na doctrine za uongo kama zile za shetani. Doctrine za kwamba sifa ndio cha msingi na kujipenda na majivuno eti kisa tu unang'aa sana. So bila ya kupitia training ya duniani utajikuta unataka tu starehe badala ya kutumika. Huku duniani tupo weakweak kiasi fulani ila tutapewa power muda si mrefu. Power my friend means responsibility sasa kama hauna experience yoyote ya kuwa responsible how will you handle the power? Kuwa responsible na vitu ulivyofanya wewe tu hiyo ni steji ya kwanza, steji ya pili utakuwa responsible na vitu vya family, na wapendwa wako katika steji za zaidi utakuwa responsible hadi na vitu ambavyo hakuna aliyevileta specifically ila ni jukumu lako kuvitunza. The more responsible, more loving you are the more powerful you are.
 
Mbona unajichanganya mwenyewe maelezo yako

Awali nilivyo kuuliza kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo, hivi ndivyo ulivyo nijibu

"Angeweza na hakufanya hivyo bali akatupatia kitu chema zaidi kwa wakati wetu."

Saizi unaielezea pepo ilivyo weza kuwa bora pasipo kuhusisha mabaya ambayo mwanzo umedai yana ulazima kuwepo ili kuifanya sehemu husika iwe nzuri zaidi

Kwanini peponi kuwe na freewill ambayo ni tofauti na hii?

Kumbe watu hufanya maovu si kwasababu wao ni waovu, ni kwasababu mfumo wa freewill waliopewa unawasukuma wao kufanya maovu

Na kwamba kuna aina fulani ya freewill wanhepewa basi hao watu wasingekuwa waovu kama ambavyo wanaweza kuonekana sasa

Ukifikiria katika wigo huo utaona hata Mungu anayejipambanua kuwa mwema, sio kwasababu kuwa eti yeye ni mwema. Ni kwasababu yeye kajisetia awe mwema, inawezekana kabisa angekuwa ana experience hii freewill angekuwa muovu mkubwa

Definitely umemfanya Mungu awe responsible kwa kila tendo ovu analofanya mtu kwa kitendo cha yeye kuruhusu watu wa mazingira fulani (ulimwenguni) wafanye uovu halafu katika mazingira fulani (peponi) wasifanye uovu

Mpaka hapo tena hiyo sio freewill
 
Duh! asee kuna kazi kubwa. Kubwa sana. Peponi sikusema kuwa freewill ya yofauti ila watu ndio wa tofauti yaani upendo na wema umetawala.

Hata hapa duniani mbona mtu anaweza kuam............... aaah bhana imeshaelezwa mara miamia na mi nimechoka asee. Basi sirudii
 
Watu waliofanya mema hapa duniani wakifika huko wataenda wapi kama sio peponi?

Kwa hiyo hawa hawa watu wakifika kule automatically wanabadilika na kuwa tofauti?

Unapata shida ni kwasababu unaandika maelezo mengi ambayo hayajibu swali
 
Nilimaanisha kiujumla watu wa peponi ni tofauti na wa duniani yaani duniani ni mchanganyiko wa wema na wabaya.

Wakati watu wa jehanamu wabaya na ubaya na wabinafsi ndiyo wametawala.

Wakati watu wa mbinguni wema na wapendwa ndio wametawala.

Walikuwa watu kwa maana ya generally sifa zao sio kama za duniani mchanganyiko
 
Swali, kama Mungu alijua huyu ninayemuumba ataenda moton, na moton ataenda kwa kuchagua yeye mwenyew lakin uchaguzi wake ndo huo aende moton, sasa kwanin aniumbe nikateseke wakat yeye anajua kabisa naenda moton maana anajua mwsho wangu kabla ya mwanzo?
Swali la msingi sio hilo. Swali la msingi ni kuwa kwa nini wewe uchague kwenda motoni na ilhali Mungu katengeneza njia?

Yaani wa kujilaumu ni wewe tu kwa sababu ni kama mtu aibe mwenyewe, wazazi watake kumlipia faini atoke awe huru agone kuwa atalipa mwenyewe halafu akipelekwa gerezani aanze kuhoji kwa nini wazazi walinizaa? Sio mfano mkamilifu lakini ndicho unachojaribu kusema.

Beba gharama ya uchaguzi wako, usitafute wa kumbebesha lawama!
 
Nilimaanisha kiujumla watu wa peponi ni tofauti na wa duniani yaani duniani ni mchanganyiko wa wema na wabaya.

Wakati watu wa jehanamu wabaya na ubaya na wabinafsi ndiyo wametawala.

Wakati watu wa mbinguni wema na wapendwa ndio wametawala.

Walikuwa watu kwa maana ya generally sifa zao sio kama za duniani mchanganyiko
Watu walioko mbinguni hawana freewill ya kuchagua mabaya, watu walioko ulimwenguni wana freewill ya kuchagua mema na mabaya

Kama kilicho chema zaidi ni kile ambacho kimeambatana na selection ya mabaya kama ambavyo wewe umesema basi tutakualiana hapa kuwa mbinguni sio sehemu nzuri kwakua ime lack free will yenye selection ya mabaya
 
Nilikusisitizia post fulani kuwa in theory wanaweza kuchagua hayo mabaya. Lakini hawachagui hayo mabaya maana wao ni watu wema. Wapo tried and tested.

Lakini maamuzi wanayo ya kuchagua chochote sema walishamsogelea Mungu na ndio maana uwezekano wa kuchagua mabaya ni karibia sifuri[infinitesimal]. Tena kwa sisi tulio duniani huo uwezekano ukiutafsiri kikwetu ni kama sifuri tu relatively. Mbona hata waliookoka hapa duniani wanaamuaga kuchagua mema na wapo huru? Amini katika wema utaona ilivyo rahisi.
 
Nimeyakopi maelezo yangu:

Ukifikia hatua upo peponi, upo Edeni, upo uweponi mwa Bwana unakuwa unaweza kuwa mwovu kinadharia* [in theory]. Lakini hapo upo tried and tested kiasi kwamba uovu kwako ni almost impossible.

Au tuseme kuna hatua fulani unaweza kufanya uovu ila kuna hatua unafikia kuwa mtakatifu kama Mungu mwenyewe alivyo mtakatifu mambo ya uovu yanakuwa kwako hayapo.

Sema kabla hujafikia utakatifu unaweza kukosea lakini kadri unavyoupunguza umbali wako wa kiroho kutoka pointi A[unyama] kupitia pointi BCD [Ubinadamu] hadi pointi X[Umungu]. Ndio unazidi kupunguza uwezekano wa kutenda dhambi hadi almost zero.

Nasema almost zero kwa kuwa kwa sisi hadi kumfikia Mungu kuna infinity 'steps'/hatuas. And that is a good thing. Because it means we can have eternal life😊
 
Nilikusisitizia post fulani kuwa in theory wanaweza kuchagua hayo mabaya. Lakini hawachagui hayo mabaya maana wao ni watu wema.

Lakini maamuzi wanayo ya kuchagua chochote sema walishamsogelea Mungu na ndio maana uwezekano wa kuchagua mabaya ni karibia sifuri[infinitesimal]. Tena kwa sisi tulio duniani huo uwezekano ukiutafsiri kikwetu ni kama sifuri tu relatively. Mbona hata waliookoka hapa duniani wanaamuaga kuchagua mema na wapo huru? Amini katika wema utaona ilivyo rahisi.

Nilikuuliza kwanini Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya ikiwemo na freewill yenye kuchagua mema ukajibu kuwa angeweza kufanya hivyo ila ulimwengu huu ni bora zaidi kuliko ambavyo angeumba ukiwa katika namna ambayo nime hoji mimi

Kwamba yalihitajika mabaya yawepo ili kufanya mazuri yaonekane mazuri zaidi, pasipo kuwa na mabaya usingekuwa ulimwengu mzuri

Kwa maana hiyo peponi sio sehemu nzuri kama ilivyo huku kwakua imekosa vile vigezo ambavyo vinafanya sehemu iwe bora zaidi
 
Nimeyakopi maelezo yangu:

Ukifikia hatua upo peponi, upo Edeni, upo uweponi mwa Bwana unakuwa unaweza kuwa mwovu in theory. Lakini hapo upo tried and tested kiasi kwamba uovu kwako ni almost impossible.

Au tuseme kuna hatua fulani unaweza kufanya uovu ila kuna hatua unafikia kuwa mtakatifu kama Mungu mwenyewe alivyo mtakatifu mambo ya uovu yanakuwa kwako hayapo.

Sema kabla hujafikia utakatifu unaweza kukosea lakini kadri unavyoupunguza umbali wako wa kiroho kutoka pointi A[unyama] kupitia pointi BCD [Ubinadamu] hadi pointi X[Umungu]. Ndio unazidi kupunguza uwezekano wa kutenda dhambi hadi almost zero.

Nasema almost zero kwa kuwa kwa sisi hadi kumfikia Mungu kuna infinity 'steps'/hatuas. And that is a good thing😊
uovu in theory sio dhambi?
 
Nilikuuliza kwanini Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya ikiwemo na freewill yenye kuchagua mema ukajibu kuwa angeweza kufanya hivyo ila ulimwengu huu ni bora zaidi kuliko ambavyo angeumba ukiwa katika namna ambayo nime hoji mimi

Kwamba yalihitajika mabaya yawepo ili kufanya mazuri yaonekane mazuri zaidi, pasipo kuwa na mabaya usingekuwa ulimwengu mzuri

Kwa maana hiyo peponi sio sehemu nzuri kama ilivyo huku kwakua imekosa vile vigezo ambavyo vinafanya sehemu iwe bora zaidi
Wee! nakumbuka hadi ulinukuu, nilisema huu ni mzuri zaidi kwa wakati huu.

Basi niseme niongeze, kwa wakati huu wa utoto wetu kiroho hadi tutakapograduate kiroho.

Hivi braza miaka arobaini themanini ina hasara gani kwa umilele?

Na nilisisitiza vya kutosha kwamba ubaya sio kitu cha lazima kuthibitisha uwepo wa utashi huru. Anayeng'an'gana kuwa ubaya na wema ndio unakamilisha freewill ni wewe sio mimi.
 
uovu in theory sio dhambi?
Ni kama kusema ana uwezo wa kufanya maovu kulingana na uwezo wake ukimpima utashi na uwezo ila hafanyi hizo dhambi kutokana na maamuzi yake.

Ni kama kijana wa kiume akipimwa kibaiolojia anao uwezo wa kubaka kinadharia*[in theory] lakini habaki maana yeye ameamua na amejitambua na sio mbakaji.
 
Back
Top Bottom