Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ni balaa,kuna mtu kanitumia vidéo 2 nimebaki mdomo wazi. Halafu ana mke na watoto wazuri.Ila una ukuni kajaaliwa .Bangala limejaa.
FB_IMG_1730743132520.jpg
 
Mke wako anapata visafari safari kazin kwake kila mara na ww unachekelea tu anapata favor kibao na ww upo kama zoba hawanaga akili hawa hata robo
Humo makazini ndio balaa wake wengi wana mabwana zao wa kazini. Kama hizo semina na training ndio kabisa wanakazwa sana huko
 
Fact, na hapa ndipo akili za mwanamke zinaposhangaza
Huo ndio udhaifu wa wanawake, ukiwa na demu hasa awe mkali zaidi yake basi ujue kumtongoza na kukubali dk 0 tu

Na kama hivi wameona jamaa kawapelekea moto tena wake za wa kubwa serikalini ndivyo watataka nao wajaribu kuona jamaa ana maajabu gani mpaka anawavutia

Ndio maana waume za watu huwa wanazingatiwa sana kwenye kupewa mzigo
 
Nilijokifunza kwa mwamba kuomba mzigo kwa mwanamke ni uoga wako.

Yaani kwa ujasiri wa mwamba 80% yetu wanaume ni madomo zege
Jamaa anajua sana kucheza na dating cheat codes za kuwanasa wanawake, art attraction na female pyschology ukishaweza kuivunja female ego hata Kamala Harris unapita naye
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom