Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Hivi wewe si ulikua unatafuta ushahidi au?
Unaletewa unasema Silliness.
Huu ni unafiki wa hali ya Juu.au hukutaka ushahidi toka kwa Gwajima.
Usimwache Mchawi Aishi.
 

MTKJ ana jibu sahihi kwako namnukuu

''Ya Gwajima mwachie Gwajima mwenyewe! Yeye ndie aliyelala lockup, sio wewe, tumuache aamue njia sahihi ya kudeal na masahibu yake, Gwajima is an adult, na badala yake mpe nasaha Bashite ajifunze kuwa na kiasi, madaraka yanapita tu lakini maisha yataendelea!''
upo hapo?
 
Hivi huyo mchungaji kwa hilo amekosea wapi ?? Kama anasema uwongo si wampuuze tu? . Sasa rais haoni ndo anajisjusha na kupoteza imani kwetu wapiga kura kama kweli anahangaika kupambana na raia tu tena mmoja wakat kunamambo meeeeengi ya msingi kufanya!!
 
lkn Mkuu umesahau kwamba lengo Kuu la Dini ni 'kuamrishana mema na kukatazana maovu' sasa kama ameliona 'ovu' mbele ya jamii ni wajibu wake kulikemea au kuliondoa kabisa. Je kwa mantiki hiyo kosa lake lipo wapi?
 
Hata wewe unaweza ukawa kiongozi wa dini wa mtoto wako au unaongelea dini za kusadikika? Lile kundi ni la gwajima na kuna makundi mengi, ubinadamu upo pale pale hivyo kuwa kiongozi hakukutoi kufanya mambo ya hapa duniani tunapoishi
 
Hivi wewe si ulikua unatafuta ushahidi au?
Unaletewa unasema Silliness.
Huu ni unafiki wa hali ya Juu.au hukutaka ushahidi toka kwa Gwajima.
Usimwache Mchawi Aishi.

Sasa huyo babu ndo atakuwa ushahidi?

Gwajima fanboy logic😀.
 
Hivi nani aliwaambia Gwajima ni mtumishi wa Mungu hadi ayaishi maandiko? Mayb b maana kuna miungu wengi ambao hata Mungu Jehova anajua wapo na anatuonya kwenye amri ya kwanza. Gwajima ni mchumia tumbo na muhuni fulani hivi (Simtetei Bashite wala mamlaka iliyomteua). Ana genge la wapumbavu waliokosa maarifa ambao wapo tayari kulipokea na kulitakasa lolote lile toka kwa Gwajima (Sio Mungu), si ajabu yalitabiriwa. Kiongozi wa kiroho hawezi kufanya upuuzi anaofanya huyu wanayemuita mtume Gwajima. Mbona alimtusi Pengo na mzee wa watu hakuwahi kumjibu lolote na genge lake la wapumbavu lilishangilia (sijui alifanya vile kwa mujibu wa andiko lipi).
 
Leo ndio mnajua hilo, alipoitwa central mlishangilia.
Yawezekana anachofanya baba mchungaji ndio njia nzuri ya ku msaidia kijana wenu.
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Mi nadhani nchi jirani ndio watakuwa wanawaza kwamba serikali ya Tanzania ndo ipimwe akili. Kwani kwa hali ilivyo lipi unalodhani tutatiliwa shaka akili zetu tukilifuata kati ya yafanywayo na serikali kumlinda Bashite na kumfuata Gwajima????
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Mlipo kuwa mnasema Gwajima ni muuza madawa ya kulevya ilikuwa sawa tena bili ushahidi!!!Ila sasa yeye kusema unavyeti feki imekuws nongwa tena na ushahidi na walimu waliomfundisha bashite wapo.
Nayeye sasa ni zamu yake ,acha amwanike tuuuuuu.
Huyu gwajima nasikia nyumba yake imezingirwa
 
Mtumishi wa Mungu anamtegemea Mungu,anapambana kiroho sio kimwili..
Na mapambano ya kiroho ni kumsamehe mtu sio kuhubiri kiroho upate sadaka!
kwaio ni ukweli kuwa jamaa ni bashite???
 

Huyu si ndiye juzi na jana alikuwa akizodolewa ''MUUZA NGADA'' mnafiki na mengine?
Sasa jana ndio ulikuwa wakati muafaka wa kumkumbusha haya. LAKINI KWA KUJIAMINI ALIPUUZWA
kwani atafanya nini?
 
Yamekuwa hayo! sasa kumeanza kupambazuka. Hata hivyo hebu muwafanye watu wawe na uhakika na kesho yao jamani, hivi sasa hawajui kesho kutasemwa nini, kutatangazwa nini na kutatokea nini. Hii ni sawa jamani!?
 


Kama wanujuana vile ... kwasababu nimejiuliza

Nini ilikua sababu ya hii mechi walio avalia jezi, Mpaka mechi inaisha kweli hawafahamiani hawa mh?
 
Hata mimi sioni tatizo kwa Gwajima kujihami kihivyo!! Especially kama hausiki ..... and so far inaonyesha hivyo!!

Hiyo scandal ilikuwa inaweza kummaliza kabisa kidini, kimaisha (socially) na kiuchumi (economically)!!

Hivi siyo vitu vidogo kama watu wanavyofikiri. Yule Mkurugenzi wa Dar es salaam alikufa kwa within three months kwa ajili ya mambo kama haya!!
 
Nitofauti sana, yeye kachokozwa bila sababu za kitafiti
Hahahaha thawa,embu tusubiri tuone kama vita ya mchungaji na mwanasiasa inakuwa hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…