Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Mapema sana jumamosi nanyoosha kabisa kuwahi kiti cha mbele kwa bwanaah yule mzee wa kudowload material......
 

Ni kweli kabisa.

Na ukitaka kuwajua vizuri hao 'watumishi' angalia wafuasi wao ni watu wa aina gani.

It's not rocket science.
 
Braza angejiuzulu tu.

Maji yamezidi unga na maduka yamefungwa inabidi tunywe uji tu.

 
Reactions: dtj
Nakubaliana na wewe sana tu. Aliyemkosea Gwajima aende akaombe msamaha kwa hakika atasamehewa. Au kwa njia ile ile aliyotangazia umma uovu wa Gwajima, amsafishe kwa njia ile ile. Mbona rahisi tu? Tatizo viburi vimetujaa.
Nikweli,embu tusubiri tuone mwisho wake?
 
Hatuna Watumishi, tuna Wasanii...sema ndio hivyo ukisema unakutana na hasira za Wafuasi.

Ila kuhusu Makonda alilikoroga mwenyewe, kwani alikuwa hamjui Gwajima alivyo?
tueleze wewe unavomjua
 
Gwajima ni kati ya maaskofu wachache nchini wasio na unafiki, anakemea uongo uliofanywa na Makonda ili liwe fundisho kwa wengine wanaoishi kwa kununua vyeti.
 
Huyo baba askofu wako anavyo behave sasa hivi naanza kupatwa na imani kuwa huenda kweli anatumia hayo mavitu.

Askofu gani ana behave kama wale wadada watukananao huko Instagram?

Shameful.
Mlizoea wale wa kikatoliki na wengine kuwasifia kila mnapofanya ujinga wenu na kutufifisha akili wa Tanzania kwa kigezo cha watu wa Mungu hawapaswi kuinuka juu ya yeyeyote atakaye wagusa.Nasema hivi mkuu wa mkoa anaijua bible! Kwamba kumwacha mpumbavu akiendelea na upumbavu wewe uliyeujua upumbavu wake ukamnyamazia means dhambi unaibeba wewe! Mwache Askofu amkemee aambiwe ukweli.Aliharibu na yeye aharibiwe,watu wajue ukweli na tunashangaa kwanini vyombo vya dola vinashindwa kufuatilia hii issue.

Kuna raia wamekumbwa na shutuma ya vyeti fake mpaka wamekimbia vituo vyao vya kazi,Tunataka Leo hii Basheti atuambie ukweli na kama sio na yeye ayeyuke tu haina namna.
 


Well said Mkuu, nilikuwa nawaza aina hii ya kiongozi wa Dini. Vitabu vya dini anayoiamini vinahimiza msamaha sio ligi za ajabu ajabu.
 
Ahahahaaaaa.....mimi nabeba boksi sio? Kabisa unaamini mimi nabeba maboksi?

Ahahahahaha....ila nilitegemea maneno kama hayo toka kwa mfuasi wa Gwajima.

So no surprise there...
''Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.''

Kama ni kweli na ushahidi upo....
 
kakosea sana kutangaza. misa yake inaweza kuingiliwa na dola ikakataza wazee hao kuongea kwa sababu ya kitoto ya dalili za uvunjifu wa amani. alitakiwa apige kimyakimya tu. sijui kwanini watu huwa hawajui kurusha mabomu
Wote wawili wana makosa kumtangaza mwenzio hadharani na yeye kukutangaza kanisani na kwenye mitandao ya kijamii kila siku, ama kweli mdomo huwaponza wengi
 

USHAHIDI ULIOPIGIWA KELE NDIO HUO. TULIENI MPATE DAWA.
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Kumtaja mtu hadharani tena kwa mbwembwe huku unajua unaharibu brand unatakiwa uwe makini.
Hata Nape analijua hili.
Walete wageni waseme wazi wazi
 
Mmeguswa mkagusika sasa mmeanza kupagawa! Hata sisi tumewachoka viongozi wa dini wanafiki wanao ona maovu yakitendeka katika nchi yetu na kusifia ilihali wananchi wakitaabika.

Songa mbele Gwajima sisi tupo nyuma yako,kataa unafiki kuwa mkweli mbele za Mungu wako unayemtumikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…