Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Mkuu sometimes kutokomenti ni bora zaidi. Inamaana kiukweli kabisa hujaelewa logic ya huo ugeni?
Ni kweli pia huelewi uhusiano wa ushahidi wa elimu ya primary na hicho "kituko" cha form four?
Kukusaidia: Uhusiano wa elimu ya primary na secondary ni JINA! Je primary alitumia jina gani na secondary jina gani?
 

Hapa fact in issue ni kuwa, daudi bashite alete vyeti vyake original basi. Hadi B/Knowledge fffffffffffff!
 
Unichafue" Uniweke central siku kadhaa bado nikusamehe kirahisi 2. Gwajima tutolee Zero brain huyu empty box kilaza international
 
Mjinga mwenyewe mfuasi wa zero Bashite,
leo mnataka ushahidi wakati Makonda anamuweka Gwajima lockup alikuonyesha ushahidi, Bashite amechokoza mwenyewe ngoja akinywee kikombe alichomnywesha mwenzake hadi aombe poo.
 
Gwajima halipizi kisasi bali anasaidia jamii kwa kufufua maovu, ukiukwaji wa sheria za nchi"
Mungu kasikia sala za wengi walionyanyaswa na huyu zero wengne kupelelea kupata magonjwa hadi kufariki kwa kufutwa kazi na Bashite..akwende 2 kilaza
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Huwa anaanza na neno kwanza, hiyo mipasho anawekaga mwisho dk chache kabla ibada haijaisha
 
Yote yasemwe ila huyu mchungaji nae ni binadamu,si mkamilifu na ana hisia.Unapoumiza ego yake anajisikia ameshushwa sana na kujaribu kurudi level yake uliyomshusha.kama binadamu hakuna cha kumlaumu.
That is the point.
 
Wewe una uhakika gani kuwa kweli huyo ni mwalimu?

Una uhakika gani kama kweli alimfundisha Makonda shule ya msingi?

Na kama kweli ndo yeye, una uhakika gani kuwa atachosema ni cha kweli na si cha kizushi?
Wewe umekuwa msemaji wa Bashite, mwalimu wake hujamuona hajazunguza, subiri aje umuone ndipo useme siye.
 
Kiongozi wa Kanisa lolote ni image ya wanaKanisa anaowaongoza. I can imagine what kind of faithfuls wanaongozwa na Bishop G. You see, dini zitusaidie kuleta amani na kusameheana. Right now, watu wanadhani the Bishop is winning; but I am afraid kwamba hatujui what the other side will or is planning to do. Kama kiongozi wa dini, ange-caitalize on the fact kwamba alisachiwa na kupimwa lakini hakukutwa na hata chembe ya dawa. Hii tu ingetosha kuwaonesha watu wengine na waumini wake kwa ujumla jinsi alivyo kiongozi wa dini MSAFI. Kurudisha masumbwi hakutamsaidia, I believe.
 
Hii kazi Sasa ngumu sana... Hii juhudi yote ya kumhubiri mwanadamu madhabahuni nayo mmmmh
 
Huyo mzee ndo atakuwa ushahidi wa hivyo vyeti?

Sasa naanza kupata mwanga wa wafuasi wa huyo Gwajima wakoje.

Sad.
Mbona unaharaka sana mkuu, je kama huyo Mzee ndiye alikuwa headteacher/headmaster wa Daudi Albert Bashite?

Tulizana mwache Gwajima akusanye ushahidi.
 
Huyu Gwajima kwa hakika ukiwa na sense 6 hutashindwa kuelewa ni mpiga deal tu, na Lazima underground ana deal na mambo mengi ya kishenzi, Mchungaji unafuatilia vyeti Vya MTU kisha unavitumia kama rungu ili usishughulikiwa au kumnyamazisha aliye kinyume chako kisha hao nguruwe wake wanasema amina!!!! Mchungaji unaweka masharti uombwe radhi, mchungaji gani wewe unayevizia watu. Umeitwa umehojiwa umeachiwa huru kisha unaanza kupambana na mamlaka, mshenzi!!!! Inaongoza vipofu na wote mtatumbukia shimoni
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Gwajima usiogope tuko nyuma yako, ukweli utakuweka huru daima
 
Poor hon.Makonda , I feel sorry for you, but worry not
 
Wewe povu la nini si umuache baba mchungaji azungumze kama ni uongo ashughulikiwe na sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…