ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
ShenziiiiiBasi hapo swali la hyperbolic nime intergrate by parts ππ€£
La haula..Mpe Tonn πΉπΉ
Coca atarudi kuna muda unaamua kuipumzisha akili na mitandao..!
Mume wake ana wivu kamuweka busy ila atarudi tu..!!
Umemng'ang'ania huyo Tony hehMpe Tonn πΉπΉ
Coca atarudi kuna muda unaamua kuipumzisha akili na mitandao..!
Mume wake ana wivu kamuweka busy ila atarudi tu..!!
Mi si nakaa pembeni naendelea na mambo zangu peke zangu watanipa vipi za uso?Wewe ukivamia utakula za uso..
Mie boli nimecheza ujanani mwangu, ndio maana viwanja vyote maarufu., na kila niendapo ni shangwe.
Imekuwa chuma hii hadi igirisiwe? πΉπΉUkipumzisha itaota kutu, mali inahitaji kugrisiwa mara kwa mara.
ππ€£Shenziiiii
Aiiiii mama sijiiiii πΉπΉAiii, umekuwa zuchu, acha zako njoo
Lakwata πΉLa haula..
Zaidi ya chuma hiyo, chuma cha pua, gearbox hiyo inahitaji kumwagiwa oil mara kwa mara iwe lainiImekuwa chuma hii hadi igirisiwe? πΉπΉ
Si nimeona kathubutu πΉπΉUmemng'ang'ania huyo Tony heh
π π π
Nenda utapata zaidi ya mazoezi huyo ji mtumishi pia anatoa mapepoAiiiii mama sijiiiii πΉπΉ
Marehemu banza kuna ngoma mwisho anasema ni utoto tu, akikua ataacha..Aiiiii mama sijiiiii πΉπΉ
Weeh sumu haijaribiwi kwa kulamba πΉπΉNenda utapata zaidi ya mazoezi huyo ji mtumishi pia anatoa mapepo
π π π mie sitaki bhnaSo nimeona kathubutu πΉπΉ
UnaniuziiiiiiWeeh sumu haijaribiwi kwa kulamba πΉπΉ
Trooka zako πΉZaidi ya chuma hiyo, chuma cha pua, gearbox hiyo inahitaji kumwagiwa oil mara kwa mara iwe laini
Uliposema amuonje nikatafsiri km chumvi kwenye mboga yule mcheza mpira.Mtili wandu unacheka nini mahiπ€£
Wee una kazi ya kuchochea mi sina mpodido wa majaribio πΉπΉUnaniuziiiiii