Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,915
- 3,422
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu.Hongera sana chief
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu.Hongera sana chief
🙂 🙂Nitafute tufungue goli la mikopo ya kausha damu
Ninao mtaji wa kutosha
Hizo ni theories tu. Kiuhalisia mambo hayapo hivyo.Mkuu,
Sitakupa namba zangu, lakini nataka nikupe ushahidi wa karibu.
Mwaka 2014, karibu miaka 10 imepita, niliweka hapa bandiko la kujenga utajiri kwa kuanza na shilingi elfu 1.
Nikuambie tu kwamba nimeliishi andiko lile na nimeweza kufanya kaisi kikubwa cha uwekezaji. Japo sitakupa namba hapa hata ufanye nini.
Ila elewa nimeishi hilo kwa miaka 10 na ninajiamini kuweza kumwelekeza mwingine afanye kama nilivyofanya.
Andiko liko hapa; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja
Asante sana mkuu.Hongera sana boss
Karibu sana mkuu.Hongera sana mkuu ,mimi nilikua nauliza Kuhusu Mifuko ya Hisa na UTT fund ,Bond za serikali..
Hapa ndipo watanzania mnaponiachaga hoi,Hizo ni theories tu. Kiuhalisia mambo hayapo hivyo.
We jamaa bana
Utakuwa tajiri kwa kuuza vitabu mzee ulivyoviandika...Mkuu,
Sitakupa namba zangu, lakini nataka nikupe ushahidi wa karibu.
Mwaka 2014, karibu miaka 10 imepita, niliweka hapa bandiko la kujenga utajiri kwa kuanza na shilingi elfu 1.
Nikuambie tu kwamba nimeliishi andiko lile na nimeweza kufanya kaisi kikubwa cha uwekezaji. Japo sitakupa namba hapa hata ufanye nini.
Ila elewa nimeishi hilo kwa miaka 10 na ninajiamini kuweza kumwelekeza mwingine afanye kama nilivyofanya.
Andiko liko hapa; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja
Wajanja ni waiziUwe mjanja sasa
Keep going dude achana kujibizana na Think tank wa Lumumba buku 7 atakupotezea muda bure,Hapa ndipo watanzania mnaponiachaga hoi,
Yaani mimi nafanya haya mambo kwa vitendo kwa miaka zaidi ya 10 sasa, halafu unaniambia ni theories?
Mkuu, weka ujuaji pembeni na ujifunze, utanufaika kuliko hiki kiburi unachoonyesha wazi hapa.
Karibu upate elimu sahihi ya fedha kutoka kwa CERTIFIED FINANCIAL EDUCATOR.
We jamaa uko vizuri.Wajanja ni waizi
Oya utajiri ni Nature yaani namna unavyofikiri na mtazamo wa jambo fulani Pesa ni matokeo baada ya kutoa idea na kuifanyia kazi,Angeku tajiri amgekuja kutupigia kelele hapa kwa kupata cheti cha BOT?