Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

Mkuu,
Sitakupa namba zangu, lakini nataka nikupe ushahidi wa karibu.
Mwaka 2014, karibu miaka 10 imepita, niliweka hapa bandiko la kujenga utajiri kwa kuanza na shilingi elfu 1.
Nikuambie tu kwamba nimeliishi andiko lile na nimeweza kufanya kaisi kikubwa cha uwekezaji. Japo sitakupa namba hapa hata ufanye nini.
Ila elewa nimeishi hilo kwa miaka 10 na ninajiamini kuweza kumwelekeza mwingine afanye kama nilivyofanya.

Andiko liko hapa; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja
Hizo ni theories tu. Kiuhalisia mambo hayapo hivyo.
 
Hongera sana mkuu ,mimi nilikua nauliza Kuhusu Mifuko ya Hisa na UTT fund ,Bond za serikali..
Karibu sana mkuu.
Kuhusu UTT, nimefundisha na kuwekeza kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Unaweza kuanzia kwenye masomo haya nayoweka link hapa na kama utajitaji zaidi tuwasiliane.
Link ya masomo; UTT AMIS – AMKA MTANZANIA
 
Hizo ni theories tu. Kiuhalisia mambo hayapo hivyo.
Hapa ndipo watanzania mnaponiachaga hoi,
Yaani mimi nafanya haya mambo kwa vitendo kwa miaka zaidi ya 10 sasa, halafu unaniambia ni theories?
Mkuu, weka ujuaji pembeni na ujifunze, utanufaika kuliko hiki kiburi unachoonyesha wazi hapa.
Karibu upate elimu sahihi ya fedha kutoka kwa CERTIFIED FINANCIAL EDUCATOR.
 
Mkuu,
Sitakupa namba zangu, lakini nataka nikupe ushahidi wa karibu.
Mwaka 2014, karibu miaka 10 imepita, niliweka hapa bandiko la kujenga utajiri kwa kuanza na shilingi elfu 1.
Nikuambie tu kwamba nimeliishi andiko lile na nimeweza kufanya kaisi kikubwa cha uwekezaji. Japo sitakupa namba hapa hata ufanye nini.
Ila elewa nimeishi hilo kwa miaka 10 na ninajiamini kuweza kumwelekeza mwingine afanye kama nilivyofanya.

Andiko liko hapa; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja
Utakuwa tajiri kwa kuuza vitabu mzee ulivyoviandika...
Wengine wanasaka utajiri kwa kutafuta mali kuzigeuza pesa
Mimi binafsi hakuna mtu anaye weza kunifundisha au kunipa elimu ya kutafuta utajiri,kwa kusoma vitabu vyaje

Ova
 
Hapa ndipo watanzania mnaponiachaga hoi,
Yaani mimi nafanya haya mambo kwa vitendo kwa miaka zaidi ya 10 sasa, halafu unaniambia ni theories?
Mkuu, weka ujuaji pembeni na ujifunze, utanufaika kuliko hiki kiburi unachoonyesha wazi hapa.
Karibu upate elimu sahihi ya fedha kutoka kwa CERTIFIED FINANCIAL EDUCATOR.
Keep going dude achana kujibizana na Think tank wa Lumumba buku 7 atakupotezea muda bure,
Focus in your dream umejaribu kitu ambacho hata akipewa miaka elfu hata weza,
Hiyo ni Moja ya kipaji ulichobarikiwa mkuu wapuuzi wakikubeza usitetereke!

Shabhashhhh!
 
Angeku tajiri amgekuja kutupigia kelele hapa kwa kupata cheti cha BOT?
Oya utajiri ni Nature yaani namna unavyofikiri na mtazamo wa jambo fulani Pesa ni matokeo baada ya kutoa idea na kuifanyia kazi,
Kuna watu ni matajiri ila hawana Pesa maana katika kanuni ya Kiroho unaanza utajiri wa Rohoni kwanza kabla ya mali!
 
Back
Top Bottom