Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Bandari zetu haziuzwi zinaendelea chini ya TPA mbona ajira ziko nyingi bandarini bila hao warabu?Kweli kabisa, hoja ni fursa, vijana wakijuwa vigezo na wapi pa kwenda, itakuwa wepesi kwao kujitayarisha.
Samahani sana, mimi siyo mama Samia pia mimi siyobwakala wakala wa DP World kwa kazi au ajira, nipo hapa kuwsongiza vijana kadrinya uwezo wangu vijana fursa zisiwspite.sawa mama Samia, tunaaply wapi
Wewe na nani Faiza?Tunakutakia kila la heri, kila moja wetu ba rizki yake.
Hizo odds ni point kwenye michezo ya Kubet 😂😂😂Sijakuelewa, andika Kingereza Kiswshili chako kimenishinda.
Bandari za Tanzania bara hazihusiani na bandari za Zanzibar kiuendeshaji, Wazanzibari walisha saini na kampuni mapema kabisa.Naona unaifanya kazi yako ya Spinning humu kwa ufanisi Mkubwa, tangu Jumatatu ni Nyuzi kila siku kutuonesha waBara hatujakosea kuuza hizo bandari zetu.
Ajabu ni kuwa manufaa yote haya ndugu zetu wa Zanzibar hawakuyataka hadi kugomea Uuzaji wa bandari zao Isipokuwa sisi tu wa Bara.
Kweli kikulacho Ki Nguoni mwako 🙌
Kwani Katiba inasemaje kuhusu Bandari kuwa sehemu ya mambo ya Muungano?Bandari za Tanzania bara hazihusiani na bandari za Zanzibar kiuendeshaji, Wazanzibari walisha saini na kampuni mapema kabisa.
Ukishindwa kutumia akili tumia hata ujinga basiVijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF
Kusilimu kumeingiaje hapa?Tuslimu kaka hakuna namna
Shabash ndugu yangu Faiza unajua kwa nini hawa wanapinga ni machawa wa mabwana zao wanaofanya kazi Bandarini sasa wanaona ile kula yao wanaojitengenezea ndio inaondoka nimesikia huko port kuna watu wanatengeneza 100M per day Ndio maana kelele zimekuwa kubwa sana za mbwa koko .DP World karibu TZ njoo uwafundishe manyangau nini maana ya bandari mutabweka sana mwaka huu .Raisi Samia suluhu Hekoo sana na air wapewe DNATA na Air tanzania wapewe Emirates or Qatar .Vijana wa Kitanzania,
Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.
Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.
Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.
Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.
Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:
1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.
2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.
3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.
4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.
5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.
6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.
7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.
8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.
9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.
10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.
Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.
Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.
Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.
Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.
Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.
Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF
kwa hiyo kupata kazi kwa mwarabu lazima usilimu ili kutimiza terms zao? Duh, mbona tanzania yote itasilimishwa kwa mtindo huu wa kupata ajira kwa waarabuTuslimu kaka hakuna namna
HahahahWale wa IT & computer tumefikiwa
[emoji1787] Msukuma anasema aliona mdada anabonyeza kitufe container linashuka lenyewe