Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

shukrani
 
Kungekuwa na maelezo yanayokinzana na DP World [emoji289] ningejua akaunti yako imeibwa.
 
Kungekuwa na maelezo yanayokinzana na DP World [emoji289] ningejua akaunti yako imeibwa.
Hahahahah.

AlhamduliLlah, naupenda Uislam wangu, siwezi kudanganya halaiki ya watu wanaopita JF.

Mwenyezi Mungu aninusuru na roho hiyo.

Hawa DP World ujio wao Tanzania, tumshukuru sana Mwenyezi Mungu.

Uwepo wao hawa, wawekezaji wakubwa wa dunia nzima sasa hivi wanaikodolea Tanzania. Ni fursa kubwa ya ajabu.

Tutaendelea kuwafunguwa macho na masikio vijana kwa wazee wsnaopita JF kwa kuwaonesha fursa zilizo funguka.


Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima mama Samia. Anaupiga mwingi kweli kweli, siyo masihara.
 
Ni kweli mkuu kampuni za kigeni zinafanya shughuli zake kifaida sana kwa upande wao, Siyo rahisi ajira kuongezeka ila ajira zitapungua kwa %40 kwasababu wataleta mifumo yao ya kisasa kazi ya kufanywa na watu sita atafanya mtu mmoja, na hakuta kuwa na wafanyakazi wanaofanya kazi kizembe kwa kutegea na kuzurura hovyo, kwa kifupi wafanyakazi wengi watapunguzwa kwa kosa sifa, utakuta mfanyakazi anaingia kazini lakini aeleweki anafanya kazi zipi yupo yupo.
 
Wavivu hawana chao hapo dp

Wale wa kutoka kwenda kula lunch na kurudi saa tisa alafu saa kumi anaondoka kurudi nyumbani kazi wanayo
[emoji1]

Ova
Kweli kabisa, haya makampuni ys5 nje. Ni kazi tu.

Utawaona wasiokidhi vigezo wanavyoongea hovyo humu.


Mama anauoigs mwingi.
 
Tatizo ndugu waislamu, Udini wenu ni mkali sana tunauona. Yani nyie kila kitu lazima muhisishe na imani, tunajua mnachowaza hapo ni style ya kubeba tu.
 
Kwaiyo ma operator wetu wameshakosa ajira sasa.
Wote waliopo hawakosi kazi na hawatoshi. Tena watapigwa na elimu mpya, watafurahia sana.

Sema ile mambo yao ya kuharibu mashine akitaka off, waelewe ndiyo hakuna, mashine za DP World, ukisogea ksribu yake tu ishakupiga mapicha na ishapeleka habari security na kama siyo mhusika wa pale, utaipata.

Wana security system za RFID system. Zinajuwa kila mfanyakazi yuko wapi na anafanya nini kwa wakati huo. Zinaacha kusoma unapoingia chooni tu. ☠️

Tutakoma ubishi.
 
Kwa wafanyabiashara, watanufaikaje na uwepo wao? Na watakuwa na utofauti gani ukiringanisha na mazingira ya sasa?
 
Na sisi wagalatia tufanye nini..?
Ushawahi hata kufungua Management ya Dp world ukaangaliA? Ukitoa mmiliki ambaye ni Dubai wafanyakazi wengi wa Dp world ni Wazungu, Wahindi na wa Latino. Kama unafikiri watakuja masheikh na vilemba vyao kufanya kazi hapo Dar unajidanganya.

Pia huwezi kuwa Na kampuni Kubwa hivyo kwa kuendekeza Udini, biashara si rahisi Kama mnavyofikiria.
 
Tatizo ndugu waislamu, Udini wenu ni mkali sana tunauona. Yani nyie kila kitu lazima muhisishe na imani, tunajua mnachowaza hapo ni style ya kubeba tu.
Ndugu yangu, Waislam tuna imani ya hali ya juu, hatukubali Mitume au viashiria vyetu vya dini vichezewe.


Siyo kama imani zingine, wanafanya utani na upumbavu eti kwenye "dini". Nimeweka makusudi neno dininkwenye mabsno kwa sababu hizo nyingibe ni imani tu, siyo dini. Vipinkasisi au kiongozi wa dininliwe shoga la kuokewa kabisa, halafu uiite hiyo ni dini kweli?


Uislam umetukuka. Ni mwema sana, tunaupenda na tunajivunia sana Uislam wetu.
 
Kwa wafanyabiashara, watanufaikaje na uwepo wao? Na watakuwa na utofauti gani ukiringanisha na mazingira ya sasa?
Wafanyabiashara Kuna faida na hasara
-Faida ni kwamba mizigo Itatoka kwa haraka, likely siku 2 tu, hii itasaidia mzunguko.

-Hasara ni Gharama zitaongezeka, hawaji kutoa sadaka, likely Hela ya Handling na fees nyengine za Bandari zitaongezeka.
 
Andika vizuri basi wewe kilaza mfia dini
 
Kwa wafanyabiashara, watanufaikaje na uwepo wao? Na watakuwa na utofauti gani ukiringanisha na mazingira ya sasa?
Okay, kwanza hawa DP World wana mfumo ambao wao wanaita mnyororo "chain", huu mnyororo wsmejikitsnkutiwa huduma zisizoachsna kutoka unaponunuwa mzigo mpaka wanaufikisha kwako (door to door) bilankutoka nje ya chain yao. Full responsibility ni yao.

Hiyo inahakikisha unaupata mzigo wako kwa haraka zaidi kuliko kutumia huduma za kuunga unga.

Tafadhali oitia hapa👇🏾 ujionee huduma zao zilivyolenga kumuokolea gharama nfanya biashara 👇🏾

 
Umeona ulivotoka pangoni waziwazi!🤣 Mnajiona bora eti dini ni hiyo tu, ndio shida hiyo. Nyie mmeizikuta dini na mtaziacha. Uislamu ni dini ya uongo mtume fake, inadili na nafsi ndio maana sheitwan anaitumia sana.
 
Wewe pimbi una haraka gani mbona huu ni muda wa kuswali wewe unaendelea kuandika humu full in spelling errors
 
Kwa kuongezea tu, DP world wanatamba kuwa wana wafanyakazi kutoka mataifa 160 duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…