Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Mb
Sawa mfia kitimoto, nimesharekebisha, ukikuta kosa usisite kunambia, narekebisha.

Umeshawahi kuisoma Qur'an japo kidogo?
Mbona huendi kuswali au upo kwenye siku zako! Au lile fistula lako bado halijapona! Nenda Dar Group Hospitali kuna wataalamu Fala wewe
 
Mb

Mbona huendi kuswali au upo kwenye siku zako! Au lile fistula lako bado halijapona! Nenda Dar Group Hospitali kuna wataalamu Fala wewe
Audhu bi Llahi min dhalika, .

Punguani wahed.
 
Sisi vijana wa Tanganyika kwa pamoja tunasema, hizi ajira hatuzitaki wapelekeeni vijana wa Zenji maana wao watafaa zaidi.
 
Eti kinajidai kinajua dini pimbi kabisa Huna lolote na hujui chochote jike shupa wewe fala
Kuhusu dini mimi ni mwanafunzi daima. Usiwe na shaka.

Umeziona fursa za "mama" yake DP World? Anayeitwa Dubai World?

Kama bado sema "su" nizimwage hapa.

Mama Samia katuletea Dubai hapa hapa.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
 
Faiza...

Huo Mkataba wa DP WORLD utatekelezwa in Tanganyika?

Mnajenga Nchi? ama mnajenga Taifa?

-Kaveli-
 
Faiza...

Huo Mkataba wa DP WORLD utatekelezwa in Tanganyika?

Mnajenga Nchi? ama mnajenga Taifa?

-Kaveli-
Utapohitajika utafika, hauna mbambamba.


Mama Samia anaupiga Kimataifa.
 
Hiyo DP itakua extension ya msikiti maana unaisifia sana.
 
Naona bado rupia ya mwarabu inaendelea kutembea ili kutwaminisha juu mkataba huu mbovu
Dubai wanatumia Dirham.

Dirham 1 = TZS 650.


1686915476541.png


Mama anaupiga Kimataifa.
 
Hizi bado ni simulizi za alinacha,hakuna data,ni hearsay TU,na porojo kama za mwamposa,sijaona data,,ni masimulizi kama ya mabeki tatu wakikutana kisimani kuchota maji,
Unataka data zipi tukupatie, dunia siku hizi kiganjani.

DP World wanaendesha shughuli zao kwenye zaidi ya bandari 60 duniani.

Hii bandari ya kwa watawala wetu waliotuwachia madaraka👇🏾

1686916081734.png

Port | DP World London Gateway👆🏾

Bofya chini hapo usome zaidi kuhusu huduma wanazowapa waliokuwa watawala wetu👇🏾 zikifika kwetu hapa itapendeza sana👇🏾


In Shaa Allah zifike haraka sana.

Mama anaupiga Kimataifa.
 
Wakafanye kwao Zanzibar sisi hatuwataki

SSH angeanza kwanza na kwao Zanzibar ambako mara nyingi watawala wa huko wamewahi kujitapa kutaka kuwa kama Dubai. Na sasa wana uchumi wa bluu unaotegemea bahari na bandari pia ziko nyingi.

Sisi Tanganyika tutajifunza na kufaidika na uzoefu wao ikiwa kweli watakuwa kama Dubai. Aidha, sisi tuna uchumi wa kijani unaotegemea ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, ufugaji na inatema madini.
 
Vijana wa Kitanzania,

Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla.

Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP World.

Kwa bahati niliyeongea nae kwanza, kijana mwenzangu wa zamani, maarufu sana Dar au niseme Tanzania nzima, kwani alikuwa ni mcheza mpira wa kusifika enzi hizo.

Baada ya salaam na kuulizana ya hapa na pale nikamuuliza kuhusu DP World kama ana connection yoyote, kwanza kacheka akanambia wewe mtu zaidi ya wa kumi kuniuliza. Kwa ufupi, alikuwa na mtu tena mwema sana. Akanambia atanipigia baadae kidogo nimpe muda kidogo amtafute. Baada ya kama nusu saa akanistukiza kwa video conference call, akiwemo na huyo kijana ambae yupo jikoni, ndani ya Dubai World, hawa Dubai World ndiyo "mama" wa DP World. Tukaongea mengi sana.

Vijana wa Kitanzania watakao bahatika kupata kazi na DP World watafaidika na mengi. Kwa uchache:

1) Kutakuwa na kila aina ya ajira, wenye ujuzi na wasio na ujuzi watachukuliwa.

2) Mafunzo ya kazi ya mara kwa mara, ndani na nje ya nchi, yatatolewa kwa watakao pata kazi.

3) Uhamisho wa kituo cha kazi wa mara kwa mara kwa watakao ajiriwa.

4) Hatastahimiliwi mfanya kazi ambae hafati muda wa kazi na deadlines za assgnments.

5) Wenye kujua Kingereza kwa kusoma, kuandika na kuzungumza ndiyo watakuwa na chance kubwa.

6) Wenye kujua kutumia kompyuta kiwepesi chance zitakuwa kubwa.

7) Ukiwa mwongo kwenye cv au vyeti au kazini, hata ukishaajiriwa utaikosa kazi.

8) Wana policies and procedures kwa kila hatua ya kazi, ukikiuka hata kidogo ujue hauna kazi.

9) Visingizio (excuses) havina nafasi kabisa.

10) Rushwa aina yoyote kwa anaetoa au kupokea, ni "mmediate termination" hata kwa anaejaribu kugusia au kuzungumzia tu, haina mjadala.

Nimechoka kuandika kwa sasa, kuna mengi sana ntakuwa nayajazilia kidogo kidogo.

Mbele huko ntajulisha mpaka namna ya kupata kazi. Wapi pa kuanzia.

Nayafanya haya kwa nia njema kabisa, sitaki malipo, wala sitafuti kiki, hakuna tunaejuana humu isipokuwa wachache sana, tena wa karibu sana kwangu.

Uliza chochote hapa hapa jukwaa la wazi, sijibu PM.

Mwenyezi Mungu awe nasi. Nita update baadae lakini napokea maswali muda wote.


Update: podt #86 ina. Maelezo kamilibya namna ya ku apply.
FF

Pumbaa
 
Back
Top Bottom