Samia ameumiza Watanzania wengi zaidi kuliko Rais yoyote.
Wengi wametekwa, kuna wangapi, ameuza maliasili nyingi za Taifa, waulize Wamasai, familia ya Kibao, Soka.
Sera zake zimepandisha Kodi, tozo, being ya umeme, vifaa vyao ujenzi, chakula, mafuta na kuwafanya Watanzania wengi makini zaidi.
Amewakumbatia wezi, mafisadi wote anawaambia kuleni kwa urefu wa kamba zenu.
Vilio kila sehemu wizi, uporaji wa viwanja mashamba, nyumba za maskini kila sehemu pamoja na ubakaji umeshamiri, uchomaji masoko, umeshamiri.