Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

Ahahah..hapana hao uncertified but ma pro sellers hata siku 1 siwezi kujichanganya nikawala..Never yan.
Huwa tuu nikivurugwaaa na mambo yangu katika kupoteza poteza muda hua kaanza kuwasumbua.

Unakuta mtu dau lake anasema 70k basi naanza ku bargain naoo kama nina hela vile namshuka haswaa mpaka 25k [emoji23][emoji23] halaf namwambia hapo nitalipa usafir kisha natuma location...akija mi nishasepa kitamboooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au?

Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana.

Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"

Mwenzake akauliza kama hana hela na ni mfupi je? Utapita nae?

Kama hana hela na ni mrefu je? Utapita nae?

Naomba kuuliza, Kwani siku hizi hamna mapenzi tena? Watu wanaangalia pochi tu? Pochi ikikata utaangalia nini?

Cc: 50thebe mshamba_hachekwi Smart911 Ushimen
Acha ufusika utakufa Maskini. Kufanya Ngono hovyo hovyo kama kuku ni laana
 
1677571400764.jpg
FB_IMG_16756320386126101.jpg
 
Hata kutongoza tulishaacha, SIKU HX TUPO KIDIGITAL YANI TUNAKUTANA TUNAWEKA APPOINTMENT THEN MTU ANALIWA VZR TU.BAADA YA HAPO KILA MTU NA 50 ZAKE,UKIMMISS UNAANDAA FUNGU THEN KAMA KAWAIDA
And all these happens kwenye ulimwengu wa kichwa chako sio??
 
Siku hizi wadada nao "wanapita" na wanaume tena wengine wana "hit and run" kabisa. Mimi kuna mmoja kanipitia mara mbili nadhani alifikiri nna hela za mchezo, baada ya kunipiga vizinga mara kadhaa na mimi kuvichomoa kaamua kuni dump!
Jesus 😱
 
Back
Top Bottom